Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watakwambia Viwanja vya China vina Running tracks twaiyo sio modern 😀😀😀
 
Hizo ndio modern stadiums as of 21st century.. hakuna kiwanja cha west kinaeza come close to chinese stadiums. Facts. Na hivyo ni viwanja vichache tu nimeweka.. hizo ongoing projects ukiziona utaduaa. 😂😂😂
Nani alidanganya Wavumbistan China ni Vumbistan? Tukiwa na mjadala kidogo, wanaanza kulinganisha The West na China. Yani kwa akili zao wanajiona Wachina wakati kwa Mchina you're just another baboon. Wachina feki mnachekesha.😂😂😂
 
Fuatilia moja ya sharti la dangote aliloliweka nigeria kule,hamna oil tanker itakuja hapo,acha uvivy nenda kagoogle,sharti kama lile ni kichaa tu atalikubali,nigeria yuko mahakamani huko
Tell me 700,000 barrels per day,,that huge amounts, I think will be second in Africa capacity wise,,how will it be transported around the world??by lorries??
 
Nani alidanganya Wavumbistan China ni Vumbistan? Tukiwa na mjadala kidogo, wanaanza kulinganisha The West na China. Yani kwa akili zao wanajiona Wachina wakati kwa Mchina you're just another baboon. Wachina feki mnachekesha.😂😂😂
Wewe ***** mwenzako alitumia viwanja vya west kama refference yake, na mimi nimemletea viwanja vya China kama rejea ya tunachokifanya. 😂😂😂😂 sasa tulinganisha ni dunia ipi ipo nyuma kati ya nyinyi mnaoibiwa na wachina au sisi tunaofanya kazi pamojanao.
 
Hao mbuzi hawana akili. Mpaka leo wanakwambia lile gari moshi lao,mtungi wa gongo ni zuri kuliko EMU za TRC sasa unajadili nini na wapumbavu wa aina hio?
 
Modernity is not measured by outer design. Modernity is measured by features inside a stadium. Tell me anything modern about samia stadium ambayo haiko Talanta stadium. Mimi naweza kukutajia vitu vingi ndani ya Talanta ambazo hazipo Samia

You just built an oversized roof mnaita stadium. There's nothing morden about an oversized roof
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…