NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,628
Tuonyeshe moja Kama hiyo yenye mlijenga Zamani.Watu washaachana na maviwanja ya hv kaka, sijakashifu ila huo ndiyo ukweli, hz design za kizamani kwa sasa.
so far Kenya it is Kenya mzee! Nina uhakika kama Bagamoyo port ingekuwa imejengwa hii kitu ingekuja Tanzania!
No thank you total wana viwanda vya kusafisha mafuta za kutosha Hii ya dangote inatosha east ,central and parts of southern Africa
View: https://x.com/DavidNdii/status/2074389671421898768?s=20
MY TAKE
Is there a need for Tanzania taking part in this Dangote project in Kenya? We have our own energy resources gas n coal, why not mobilizing with Total the owner of EACOP for a parallel crude refinery in Tanga?
Saa hii lazima iwe tu ya kupuuzi. A few days ago mlikuwa mkishangilia vile itajengwa Tanganyika. Mbona tushawazoea nyinyi minyamwezi kwa ubinafsi na ulimbukeni!Kwa mikataba ya kipuuzi hv bora wajenge huko huko aisee
Na screens za sitting room!
Watu washaachana na maviwanja ya hv kaka, sijakashifu ila huo ndiyo ukweli, hz design za kizamani kwa sasa.
Angalia viwanja vya marekani utaelewa kwamba Arusha ni the best than this, hv viwanja vimeshapitwa na wakati bro, siku hz viwanja vinatengenezwa unaweza kusema ni bank.
Wewe nyamwezi unaishi dunia gani? 🤣🤣🤣🤣
Tushaaambia bila filta hamtoboi, uwanja hauna shape
Hata EACOP mbna ilikua the same au ushasahauWewe nyamwezi unaishi dunia gani? 🤣🤣🤣🤣
EACOP yenye hata Rwanda haina hamu nayo tena 🤣🤣🤣Hata EACOP mbna ilikua the same au ushasahau
Wewe nyamwezi unaishi dunia gani? 🤣🤣🤣🤣
so far Kenya it is Kenya mzee! Nina uhakika kama Bagamoyo port ingekuwa imejengwa hii kitu ingekuja Tanzania!
ngoja tukukumbushe kidogo inaonekana unasahau sanaEACOP yenye hata Rwanda haina hamu nayo tena 🤣🤣🤣
hujamwambia vizuri bana 😂Na screens za sitting room!
wakenya na mpira wap wap mzee 😂😂 wakenya wengi hawajawahi hata kupanda ndege, thats the only thing they know as a stadium, infact kuna mwingine jana alikua anatuelezea kuhusu CHAN tumekaa tunamwangalia tutunacheka mwaiofhawaiiWatu washaachana na maviwanja ya hv kaka, sijakashifu ila huo ndiyo ukweli, hz design za kizamani kwa sasa.
sio kosa lao mzee, thats the only thing they know si unajua hata kupanda ndege hawajawahiAngalia viwanja vya marekani utaelewa kwamba Arusha ni the best than this, hv viwanja vimeshapitwa na wakati bro, siku hz viwanja vinatengenezwa unaweza kusema ni bank.
sio tu kusafiri i have also lived, alafu Tanzania ni middle income huezi linganisha na marekani, in comparison apart from DRC nchi gan ingine ina export nyingi kushinda tanzania in the region?Hapa Nipo kijiji Fulani maeneo ya Chunya, hali nayoiona huku, and then this is 2026,
And then anatokea mtu anasema nchi ina flourish, you sound like a clown.
Nchi nzima ya watu milioni 70 mna export $26b halafu you think that’s something really, and what exactly are you exporting to the world, korosho? 😂
Kuna wakati waziri mmoja kilaza akasema nchi za Magharibi zinaionea wivu Tanzania , with overall export of $26b, yaani nchi kama Marekani yenye mji mmoja tu wa Jersey unashinda miji yote ya Africa ionee wivu sisi ?
By the way, mkuu umewahi hata kusafiri nchi za watu wenye akili ? Unaona are you anywhere near nchi yenye watu wenye akili ?
And yes, our leaders are a bunch of incompetent clowns.
mbna kama unataka kulia mwana etu ama ulidhan kila mtu anatumia f5 kama nyieHio video ya kwanza hata haionekani what am i seeing here?
Second video - yani there are 3 that are just serviced for show, and the last time it flew ni enzi za pombe magufuli?
huu uwanja majani yake yakua green before even that cowshed ya ngongMbona umeanza kunyanyuka faster hivi!
Meanwhile kuna watu wanajenga viwanja ambavyo havikidhi hata vigezo vya TFF achilia mbali CECAFA, CAF na FIFA. 😂😂😂