Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa wana akili fupi sana. Imagine mtu anaamini Dar hakuna ujenzi unaendelea? Watu wanajenga mpaka tunalalamika malori yanaharibu barabara huku mitaani.
Watu wanakimbizana corridor za manispaa kubadili idadi ya ghorofa kwenye makazi ziongezwe ili wajenge majengo marefu zaidi halafu unakuta kima humu anafikiri majengo kuwa na ghorofa idadi fulani ni kukosa wapangaji au pesa.
 
Sasa umeambiwa Dar kuna shortage ya space? Dar Kuna height restriction kwenye residential area acha ujuaji hasa kwenye vitu usivyobijua
 
Hawa mbuzi hawajui permit na restrictions kwemye ujenzi
 
This one 20 floors coming up at Upanga Dasilinga.this is 18 floors wame lounch juzi kati tu hii nayo inakuja Nkurumah Kariakoo pia ni 18 floors 👇🏾hii pia ni 17 floors Upanga hii nayo ni 17 floors pia at Upanga 👇🏾hizi miradi za 15-20 floors buildings ni mingi sana hapa Upanga.
 

Attachments

  • IMG_6864.jpeg
    147.6 KB · Views: 18
Napemda design ya hii building. Comipng up at Nkuruma street Kariakoo Dar es Salaam. 18 floors building View attachment 3621734
Hii dwarf size, ata tuliacha kuhesabu Nairobi.
Tuko na hundreds this size already built and under construction.
Huwa tunatanganza 25+ floors. pekee.
The tallest kwa hizo umepost is around 16 floors.

Please stop driving your demio on the fast lane. Accept lane yako ni huko left, and join the likes of Burundi and Rwanda huko. 😂
 
Kuna hii na yenyewe ni ilibidi ijengwe only 13 floors at Mikocheni Dasilinga (kairuki rood). Lakini ikabadilishwa from 13 floors n now they are building 18 storeys .. from 👇🏾.. this was may 12 to this 👇🏾.. this is june 13th .. hii point ya kuwa watu wanakimbilia kubadili floors of their proposed buildings ni story ya ukweli. @PRONDO
 
Hii dwarf size, ata tuliacha kuhesabu Nairobi.
Tuko na hundreds this size already built and under construction.
Huwa tunatanganza 25+ floors. pekee
Umia polepole ukisonga 😂😂 nikupee maji ya kunywa .? Umejaa ngori, kunywa maji mengi moyo uelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…