Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ali kiba kipenzi cha watu.......best in bongo..............Maina Kageni ako na nyumba Miami
diamond ana nyumba katika prime area kule SA, EA yote inajua....hiyo ya huyo takataka shoga maina hakuna anayejua,ndio kwanza tunasikia kwako. embu tuonyeshe hiyo nyumba[emoji23]
 
I have always said the ujamaa system was a waste of time...ubepari ndio una run dunia kwa sasa...ila pia ujamaa ukona faida aina mbali mbali, mfano, hamna ukabila kama sie...pia nchi inakaa kwa amani
Ujamaa unafaida kubwa kwa nchi masikini.ambazo zina limited resources kama za Africa, matatizo mengi yanayoikumba Kenya sasa hivi ni kutokana na siasa za kibepari, leo hii mnasema Tanzania ina ardhi kubwa, ina madini na kila kitu, hii ni kwa sababu ya siasa za ujamaa kuzilinda rasilimali hizi kwa ajili ya watu wote na vizazi vya baadae, tungefuata ubepari, rasilimali zote hizi zingekuwa mikononi mwa wachache na madini mengi yangekuwa yameshakwisha.
 
ilitakiwa wakenya wakulipe kwa hii knowledge unayowapatia.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
wewe leo imagine 49.1% of tanzania land is untouched, yani haijaguswa na resources ndio zimeanza kuguswa tanzania
selous game reserve is the biggest faunal reserve in the world na inasemekana ina simba zaidi ya 3000 ambayo inaifanya kua na simba wengi barani africa
 
Mimi nilisha waambia watu Huu utajiri wa rasiliamali pia ndio unachangia Tanzania kuwa maskini kwasababu tuna experience neo colonialism zaidi ya nchi zote nyingine za East Africa.
 
We sio mtz bwana acha kujichocha ...watz tunajijua hebu acha maigizo yako
Tatizo ni sipendi unafiki na kushupalia uongo ndo maana somehow na maoni tofauti na watanzania mulio wengi humu
Nyie mumeanzisha ligi hasaa yaani,mko tayari kuvimba mishipa na kujitutumua hata kama mnajua mnatetea uongo ili tu kuonyesha kwamba mambo ni poa,sasa hiyo hulka mimi siwezi
Natoa credit panapostahili na kupinga napoona sio sawa,mm sijarishi upande
 
Mimi nilisha waambia watu Huu utajiri wa rasiliamali pia ndio unachangia Tanzania kuwa maskini kwasababu tuna experience neo colonialism zaidi ya nchi zote nyingine za East Africa.
pia DRC wakona shida hio hio
 
hehehhee msikieni huyu mkenya anae act as a tanzanianπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unachekesha mkuu,fuatilia nyuzi na comment zangu sio jukwaa hili tu bali hata kwenye majukwaa mengine ya kibongo
Unastaajabu coz somehow Niko na maoni tofauti na waliowengi humu,natoa credit panapostahili bila kujalisha mchangiaji ni wa upande gani
 
mm hunidanganyi labda uwafunge kamba wengine nimekujua kitambo wewe ni mkenya sasa usije jiona unaakili sana tupo wenye akili zaidi yako weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ labda ujaribu njia nyingine hii ume fail
 
ilitakiwa wakenya wakulipe kwa hii knowledge unayowapatia.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ngoja tuwasaidie kuwaelimisha kwasababu nimegundua hawana uwezo wa kufanya analysis.
 
*Mulio hahahaha
*Mumeanzisha uwiiiiiiiii hakuna mtz ataandika hivyo milele acha kujipendekeza nyang'au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…