Inabidi Samia acheze karata zake right atafute funds za Isaka-Uganda border kum-convince M7 abadili mawazo!
Poleni sana.Ohk mbona wanatuchanganya hawa? Au visit ya Dangote Dar J2 imewachanganya?
View: https://www.instagram.com/p/DaKWrsQCNIb/?igsh=MXIzOHJxYnFiaXB6cQ==
View: https://x.com/MAbdallaziz/status/2071640448763138150?s=20
View: https://x.com/ntvkenya/status/2071672860133728590?s=20
Tanzania handles 6.0 million cubic meters of transit petroleum annually.
Nilichogungua ni kwamba minyamwezi hawaelewi kinachoendelea hapa
sasa kenya pipeline ni yenu?
Hilo ni kama kumsukuma mlevi au kupiga punda teke kwenye mteremko maana hakuna funder atakaye finance kipande cha Kenyan SGR wakati kuna efficient rival rail nearby hahutaji kuwa rocket scientist kujua hilo ndio maana mpaka leo mchina kagoma halafu hawawezi wakapata funder mwingine nje ya china kwasababu financing mechanism waliyoitumia haiko poa imelalia kwa wachina sana hivyo ni risk kwa funders wengine kuweka hela except wachina tuu.Inabidi Samia acheze karata zake right atafute funds za Isaka-Uganda border kum-convince M7 abadili mawazo!
Nicxie uwe unasoma na kuelewaSo nmeifuatilia and here is what am told:
So here is how the new deal will be, Oman sends refined oil to MOmbasa and then Mombasa pumps it Via Pipeline ambayo inaishia around Eldoret, so mean Rwanda watakua wanaenda kuchukulia Eldoret which cuts the journey time ya zile trucks instead ya kwenda staright mpaka dar, watakua wanachukulia border pale karibu na Uganda(Which is pretty ok as it saves cost kuliko kusafiri from kigali upite kigoma straight mpaka dar by truck)
To rwanda side its a good deal and there is no need to feel bad about them, However remember Kenya pipeline is owned by Uganda so its basically Uganda profits
G 2 G agreement ilikuwepo na bado Kenya walikuwa wanapitisha mafuta kidogo tuu ya Rwanda sasa kinachokuaminisha kwamba Rwanda watahamishia 70% ya mafuta yao kupitia kenya ni nini?Nilichogungua ni kwamba minyamwezi hawaelewi kinachoendelea hapa
sgr ya uganda and tanzania will connect together, pia uganda and congo will have to connect together also kwa ajili ya kurefine madini ya congo!Hilo ni kama kumsukuma mlevi au kupiga punda teke kwenye mteremko maana hakuna funder atakaye finance kipande cha Kenyan SGR wakati kuna efficient rival rail nearby hahutaji kuwa rocket scientist kujua hilo ndio maana mpaka leo mchina kagoma halafu hawawezi wakapata funder mwingine nje ya china kwasababu financing mechanism waliyoitumia haiko poa imelalia kwa wachina sana hivyo ni risk kwa funders wengine kuweka hela except wachina tuu.
Walisema hapa haya ni majani tofauti may be ni ya orange na kijani kwa mbaaalihalieleweki majani ni ya orange am green 🤣 🤣 imebidi waanze kumwagilia na vikombe sasa
View attachment 3618748
Most fuel imports for Rwanda and Burundi siku hizi hazipiti Dar zinapita Tanga.So nmeifuatilia and here is what am told:
So here is how the new deal will be, Oman sends refined oil to MOmbasa and then Mombasa pumps it Via Pipeline ambayo inaishia around Eldoret, so mean Rwanda watakua wanaenda kuchukulia Eldoret which cuts the journey time ya zile trucks instead ya kwenda staright mpaka dar, watakua wanachukulia border pale karibu na Uganda(Which is pretty ok as it saves cost kuliko kusafiri from kigali upite kigoma straight mpaka dar by truck)
To rwanda side its a good deal and there is no need to feel bad about them, However remember Kenya pipeline is owned by Uganda so its basically Uganda profits
Wanapitisha dar, amna sku sjaona plate number za rwanda town, hata ivo sio issue sana as for rwanda wanapata cheap option, no need kua harsh on them, the deal is ok and projects za kufanya zipo nyingi tuMost fuel for Rwanda and Burundi siku hizi hazipiti Dar zinapita Tanga.
I think kati ya Keza au Musongati kutakuwa na marshalling yard kubwa sana hapa Afrika kwa mizigo ya DRC, Burundi, Rwanda, Uganda and Zambiasgr ya uganda and tanzania will connect together, pia uganda and congo will have to connect together also kwa ajili ya kurefine madini ya congo!
so it goes this way, Congo sends it to uganda for refinery and uganda moves it to tanzania final product. Hata ivo passengers from Uganda can travel one way to dar because zote ni electric, also goods will be the same, wafanya biashara wa uganda watachagua wenyewe wap wanapata bei nzuri
Hiko choo chenu kikuu hakuna mtu atakitumia sembuse hiko ki pit latrine cha matakoni mwa NaiporiSo if you take Wilson Airport to Tanzania, it will be the second biggest airport.😂😂😂