Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii inamaana gani?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.

View attachment 3617562

View attachment 3617563

View attachment 3617564

View attachment 3617567
shida wakina Nicxie wataanza kulia tena alafu wakimbie
 
Ruto anazunguka kwenye sayari ya Dunia, hakuna nchi Ruto ataacha kutembelea. Huku Tanzania we are making deals everyday

1782656880874.png
 
Mpaka kilele cha Saba Saba tarehe 07 mwezi wa 07 Wakenya watakuwa wametepeta sana
Maonesho ya Saba-Saba yameanza kupamba moto Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) oyee

1782662614237.png


1782662719760.png


1782662809305.png
 
Back
Top Bottom