stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,444
- 39,678
Babu mwaiofhawaii anajinadi humu baba yake alisoma TZ,ukienda DMI pale wamejaa wanafunzi wa kutokea kenya
Mimi nimesoma Muhimbili, Wakenya walikuwepo kibao.Babu mwaiofhawaii anajinadi humu baba yake alisoma TZ,ukienda DMI pale wamejaa wanafunzi wa kutokea kenya
Nzuri, umeitoa wapi?Majirani waliamua kujenga roof badala ya uwanja 🤣 🤣 🤣
View attachment 3615614View attachment 3615615
Majani ya Talanta yamefikia wapi?Majirani waliamua kujenga roof badala ya uwanja 🤣 🤣 🤣
View attachment 3615614View attachment 3615615
Ndege ya nani hii?😁The mighty big bird!, the boeing 777 300ER wide body 😍😍🙌🙌...what a beauty!... now i hope KQ has plans to aquire the A350....that would be awesome👏...View attachment 3615629View attachment 3615627View attachment 3615628View attachment 3615638View attachment 3615626View attachment 3615624View attachment 3615625View attachment 3615631
Ni ndege ya nyanyako...😁Ndege ya nani hii?😁
Orengo went to UoN.Amos Wako n even the ODM senetor Orengo! Many of their elite lawyers went to UDSM! Ni mbwa tu anayeweza kupiga kelele! Even their engineers!