Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanini tuandikie mate wakati vitu vipo dhahiri


Nchi ambayo haina hata njia moja ya umeme wa 400KV kelele nyingi sasa tuonesheni hizo substation ziko wapi kwa hiyo grid yenu? Muda wa data fake umeshaisha kitaambo
 
Kwenye domain ya transportation hawa tumewaacha mbali sana kuanzia buses, marine vessels, airplanes, trains, viwanja vya ndege hakuna hata pahali wanatufikia hata nusu.
Kunya has only one international airport,
Tanzania Got 3 Active international airports, The Msalato International airport u/c is the 4th
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…