Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwahio ela ilitumika vizuri shuleni uje kumlipa huyu $1.2B?
View attachment 3611056

una uhakika haukusoma kwa mkopo kwel, wenzako wote they do understand english kasoro wewe mpaka leo hujui tafauti ya lounge na skybox, au apa ni pa kuswakia
Si nishakuambia najua hii ni skybox

Ama nini huelewi hapa?
 
They don't own the land. They lease. Ata hizo nyumba zenyewe wanauzia wakenya apartment units.
Kinacho waleta Kenya ni economic conditions. Greener pastures.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚β€ ata hizo nyumba zenyewe wanauzia wakenya units” kuna mkenya anaeishi humo.? Nyie mnafurahia kuziona na kupiga picha tu, tunawajua mnapoishi nyie viazi.

Mnauza ardhi kwa wageni mafala, sheria yenu inaruhusu mgeni kumiliki ardhi jumla ikiwa tu kuna mkunya mpumbavu mmoja ana hold share, probably viongozi wenu wameongoza kwa kuuza ardhi yenu kwa 2% shares or less. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sisi hatumpi mgeni ardhi mjomba. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na ndio mana wanakimbilia kwenu huko. Endeleeni kuuza nchi mafala nyie.

Kinachowaondoa wachina Tz kuwekeza nyumba za makazi ni sera zetu, sio chochote .. hakuna kitu mnatuzidi nyie punda labda kelele tu mitandaoni.

Misingi ya uanzishwaji wa Tz ni uhuru na kujitegemea. Huo ndio mwanya unaowaleta wawekezaji kwenu. Na ndio maana uchumi wenu unamilikiwa na foreigners, wakishindwa kuendesha sasahivi wanatuuzia waTz. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kawaida ya wapumbavu wa kikenya wakipigwa kwa hoja wanakimbilia personal attack. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jitu zima pumbavu wewe.
 
as of latest stats on 14 people have arrived there in the whole project


View: https://x.com/NationAfrica/status/2067900192981188667?s=20
 
Land is leasehold in Kenyan urban areas Prof. Bongolala. Haijalishi unaleta Wakenya wangapi. Ata ukuje na Chief.

Alafu, najua kutoka LDC Dar vumbi ni ngumu kuelewa hili.. All of these apartments are usually 100% sold by completion. Many reach 75% sold during excavation.

Mfano hii project Syokimau ukitaka apartment hapa ngoja phase 2.


View: https://www.youtube.com/shorts/VWjg69hjlE4
 
Kwanza mtu alitoka kibera akalipia 3M upfront kuhamia sio 🀣🀣🀣 where do i press to get these more jokes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…