KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,154
usijaribu my friend...Horticulture industry ya Kenya ndio namabari moja Eas Africa na barani....ama unabisha?
wakongomani na wakenya ni baba mmoja mama mbalimbali.Wa Congo man wanazingua li nchi likubwa lenye arable land ya kutosha linakuwa na njaa kama Kenya!
Acha kujipa matumaini ya kizamani, all people move around the globe looking for business opportunities, people do fight to get those opportunities, if they leave to day, that will be filled within hours not days.Such a simplistic mentality! Why then do we belabor with the EAC if we can't do the mere minimum of unhindered trade? I'm pretty sure in the long run if Kenyan buyers run away,it's the Tz sellers that will feel the pinch.
Hii ni mbaya sana,yaani bora angeilima yote halafu auzie majindi serikali kwa bei rahisi.kwa lugha nyepesi arable land in kenya zimeshikwa na settlers pamoja na politicians, ikiwa kenyatta anamilikia ardhi ina ukubwa zaidi ya jamaica 15,000 km sq na ni arable land unategemea aache kufanya biashara ya faida ya maua alime chakuka cha wakenya?😀😀😀
Uchumi wenu unaendelea kuporomimoka hadi IMF wamewaonya na nyinyi hapa nikujifariji na mambo ya kimamanaona maumivu yamekua makali zaidi😀😀😀😀😀
tanzania hatuna njaa that's why our country is not painted with the red color in the global risk map of 2018.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tanzania haitegemei kenya kwa chochote my friend hilo ulijue labda uniambie kenya ndio inaihitaj sana tanzania😀😀😀😀😀😀😀Such a simplistic mentality! Why then do we belabor with the EAC if we can't do the mere minimum of unhindered trade? I'm pretty sure in the long run if Kenyan buyers run away,it's the Tz sellers that will feel the pinch.
tunataka kodi ipatikane hatutaki ujanja wa kuihujumu nchiUchumi wenu unaendelea kuporomimoka hadi IMF wamewaonya na nyinyi hapa nikujifariji na mambo ya kimama
Kutatua tatizo la chakula kenya ni lazima mdeal na wanaomilliki arable land walime mazao ya chakula ...zaid ya hapo labda mkalime mahindi kwenye greenhouse ka inawezekana hahahhahahahingekuwa yenu iko painted mngeanza kushambulia wazungu...hahaha.Northern Kenya problem of food insecurity is something we are working on.....sisi hatukatai report hata kama inauma
Kenya is the world's largest producer of cut flowers
sijui kama mnajua revolution ya horticulture inayoendelea Tanzania nyie mpo kwenye maua Tanzania ipo everywhere how much you earn annually?Hebu waambia bro,been trying to drive sense to them all morning with little effect due to their closed perception of reality and sheer ignorance!
Kumbe mnajua mna matatizo chungu mzima kwenye nchi yenu na kwa taarifa yako hakuna tatizo baya kama njaa isiyokoma hakuna mwaka Kenya imewahi kuwa sustainable kwenye chakula never hakuna cha kusema mnalishughulikia hilo ni your permanent close partner hunger and famine.ingekuwa yenu iko painted mngeanza kushambulia wazungu...hahaha.Northern Kenya problem of food insecurity is something we are working on.....sisi hatukatai report hata kama inauma
We know that there is hunger. That's why it's widely reported. The problem was that reliance on rain fed agriculture. The gort is now moving to build mega dams for irrigation. Last years drought hit us hard but the gort is now restocking the reservesKumbe mnajua mna matatizo chungu mzima kwenye nchi yenu na kwa taarifa yako hakuna tatizo baya kama njaa isiyokoma hakuna mwaka Kenya imewahi kuwa sustainable kwenye chakula never hakuna cha kusema mnalishughulikia hilo ni your permanent close partner hunger and famine.
Juzi uhuru alivyokua sa nilimsikia Zuma akim promo kwamba Kenya is well developed in modern farming kwa kweli nilicheka kimoyomoyo nikasema akutukanae hakuchagulii tusi.
Na nyie mnavyopenda misifa inawezekana mlizipokea hizo sifa as if you deserve it wakati mnakufa na njaa
These dams seem to be built on the sky I have been hearing this chronic song for years nowWe know that there is hunger. That's why it's widely reported. The problem was that reliance on rain fed agriculture. The gort is now moving to build mega dams for irrigation. Last years drought hit us hard but the gort is now restocking the reserves
IMF applauds Tanzania economy, identifies challengesUchumi wenu unaendelea kuporomimoka hadi IMF wamewaonya na nyinyi hapa nikujifariji na mambo ya kimama
nimekwambia kwa horticulture, hakuna nchi afrika inaifikia Kenya....fanya tu resarch ujioneesijui kama mnajua revolution ya horticulture inayoendelea Tanzania nyie mpo kwenye maua Tanzania ipo everywhere how much you earn annually? View attachment 676127 View attachment 676128 View attachment 676129 View attachment 676130 View attachment 676131
Haya ni maneno ya siasa na kujipa matumaini, serikali ya Kenya na viongozi wengine are very poor in priority setting, hivi kuna sababu gani ya kujenga Thikha high way, au SGR, au kuanza ujenzi wa Lamu port kabla ya Galana project, leo hii Nairobi hakuna maji kwasababu bwawa limekauka, lakini viongozi wanajisikia fahari kuzindua mirani mikubwa ambayo effect yake ni ndogo sana kulinganisha na hiyo wanayoipuuza.We know that there is hunger. That's why it's widely reported. The problem was that reliance on rain fed agriculture. The gort is now moving to build mega dams for irrigation. Last years drought hit us hard but the gort is now restocking the reserves
ingekuwa yenu iko painted mngeanza kushambulia wazungu...hahaha.Northern Kenya problem of food insecurity is something we are working on.....sisi hatukatai report hata kama inauma
Si useme how much you earn anually!!!!!au ndio yale yale ukubwa wa pua.nimekwambia kwa horticulture, hakuna nchi afrika inaifikia Kenya....fanya tu resarch ujionee
Hahaha eti hakuna nchi Africa inayoifikia Kenya, ni bora tu useme kwa mujibu wa akili yako, Tanzania is now holding that status for your information.nimekwambia kwa horticulture, hakuna nchi afrika inaifikia Kenya....fanya tu resarch ujionee