Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mbona hapo wameweka picha ya mali Kobe ya kale na Mzee Matiangi!? Kwani bado yupo kwenye serikali ya broad best!?
😂 Majamaa ni mafala sana nyie..

Wapi uliona Loco ya Umeme inatembea kwenye fish plate rail? The outdated technology ya 60's hukoo...
You are an idiot. I can show you thousands of old railways being used by electric trains.

Mnajifanya as if nyinyi ndio mli-invent electric trains.
 
You are an idiot. I can show you thousands of old railways being used by electric trains.

Mnajifanya as if nyinyi ndio mli-invent electric trains.

Mbona unaonesha maneno matupu badala ya kuonesha hizo loco za electric zikitembea kwenye outdated rail?

Fala wa mwisho wewe.
 
1781717235123.png
 
This Kipipiri Golf Resort in Nyandarua county . In the middle of Ushago surrounded by farms… On any given weekend , the place is packed…Jameni kuna Wakenya wanaishi First world status …
View attachment 3610016View attachment 3610017View attachment 3610018View attachment 3610019View attachment 3610021View attachment 3610022
Hii nyumba inakaa public school in Tz. Jifunze Tz 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DZsdBCHNKy-/?igsh=MXBma3NpcmU2OTVlcQ==.
 
Back
Top Bottom