joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Is Kenyan Media Really Free?Kama media si huru,
ukireport njaa unakamatwa,
uzuri ya kenya kila mtu ako na haki ya kujieleza,hapo kwenu Jounalist hawezi sema anything kuhusu nchi...nina uhakika mmeficha vitu mob sana
punguza hasira buda...tunajua imewauma sana nchi yenu kuwekewa red color katika global risk map 2018.Kadoda, ichoboy, Redeemer jipeeni orgasm mkimaliza tutarudi kwenye mada...hio yenyu kama si inferiority complex sijui tutaiitaje
breaking news.
in the latest global risk map of 2018, kenya is painted with the RED color.
in the map, red color stands for high risk areas that could likely be attacked by food shortage/hunger.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
hasira hasara... tangu lini uhaba wa chakula kenya umewahi athiri tanzania?.So this makes you happy!? What a thick head! Don't you know that trouble in Kenya can as well spiral to your very bedroom in whatever hamlet you call home in Dodoma or I don't know where!?
Nyinyi mli arrest journalist alifichua njaa Tanzania hahaha......
you killed it bro...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Food sio habari Tanzania
Hahaha ulikua unataka petty arguments? Hili la chakula mmekua wadogo sababu hali halisi mnaijua mbaya zaidi linamgusa kila mtu directly kuliko high rise skylinesKadoda, ichoboy, Redeemer jipeeni orgasm mkimaliza tutarudi kwenye mada...hio yenyu kama si inferiority complex sijui tutaiitaje
anataka kila siku tuwe tunajadili vijipicha vya CBD.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha ulikua unataka petty arguments? Hili la chakula mmekua wadogo sababu hali halisi mnaijua mbaya zaidi linamgusa kila mtu directly kuliko high rise skylines
No it can't, this is your problem, men made problem because of your poor and selfish and greedy economicc policies. Tanzania lies on very strong solid foundation which took us many years to build just after our independency to date.So this makes you happy!? What a thick head! Don't you know that trouble in Kenya can as well spiral to your very bedroom in whatever hamlet you call home in Dodoma or I don't know where!?
Kwa kigezo cha mzungu Sisi ni LDC, Kwa vigezo vyetu Sisi ni matajiriNyinyi employed mbona Nchi yenu LDC?
Atleast you should thank your God because you live in 100 % arable country compared to Kenya's 20%.....But we try our best
Poor is just an english word, just like peace or rich, doesn't have any practical value if you call some one poor but has everything he needs, than the one whom you call him/her rich.I also share your sentiments. But think of this; Tanzania,peaceful country,bordering stable countries, rich arable land,long coastline and having some of the biggest fresh lakes in Africa (Blue economy),abundant of minerals,gas, wildlife and over 50 million plus people is still a low rung LDC!!! There's no better WB/UNDP case study than this or a classic Hollywood movie script on ''How To Be Poor Amidst Plenty!''
No it can't, this is your problem, men made problem because of your poor and selfish and greedy economicc policies. Tanzania lies on very strong solid foundation which took us many years to build just after our independency to date.
You didn't give enough priority in building foundation for your country, instead you chose to concentrate with economy, this is the outcome of your choices, carry your own burdens, don't try to associate Tanzania with your problems please.
Ni kweli kwamba kuna baadhi ya matatizo ambayo Kenya haikujitakia, kama hili la kupakana na Somalia, lakini mlishindwa kuchukua maamuzi ya busara pale mlipoamua kupeleka jeshi lenu Somalia badala ya kuimarisha ulinzi katika mpaka wa Kenya na Somalia ili kuwazuia Alshaabab waliokuwa wanajipenyeza kushambulia Kenya, wakati mnapeleka KDF huko Somalia, tayari kulikua na majeshi toka Uganda, Burundi, Djibouti na Ethiopia, hamkuwa na sababu yoyote ya kwenda Somalia, poor planning as usual.Thank God you don't border Somalia! This has nothing to do with our socio-economic policies or that tired line of selfishness. With your so called strong foundation why aren't you better off! The constant threat of terror and associated risks can drain even the strongest of will power,thank God we Kenyans are resilient and focused on what we ultimately want despite the threats! Thank God too that Tanzania is relatively peaceful and pray that you will never experience our predicament.
Food sio habari Tanzania