Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Which renovations?? Kwan wakati mnapost picha za westlands before hizi sehem mlikua hamzioni

Btw hehee

View: https://vt.tiktok.com/ZSQuoGV2u/
 
Report imetoka..

Page 32 wametoa uchambuzi mzuri kuhusu bandari ya Dar. Ndio imeshikilia biashara ukanda huu kwa Sasa. Uwekezaji mkubwa kutoka sekta binafsi na mapinduzi ya uendeshaji na uharaka wa huduma za kiforodha zinafanya Tanzania kuwa kimbilio kwa wasafirishaji na wafanya biashara.

Page ya 33 inaongelea bandari ya Mombasa vile Iko hivyo katika uendeshaji wake na imejikita kwenye propaganda zaidi kuliko uhalisia wake

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…