Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu mmoja anasema eti hii place inakaa kigoma ujiji. 😂😂😂 una uhakika hii Ndio project ulituonesha kwa zile renda.? Kama ndio muanze kumkamata mkandarasi mapema sana . Hii ni fedheha sana. 😂😂😂
Ila mdogo wangu tangu nikuachie mikoba unawapiga sindano kweli kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
I know English is not your cup of tea so no matter how many times I put it , your 6th grade mind won’t comprehend… so, for the last time , this whole stretch under the expressway from JKIA to ABC place Westlands is under major renovations and beautification by the Chinese….. so let’s talk a few months down the road…. And make google or YouTube your friend….. kapeesh !… 🤪
 
Team USA is on fire! Pochetino did a good job.
 
Meza panga.
The sewer line is big and wide enough for Uber driver Traveller D kuendesha Passo yake ndani.

There is no $400 million project going on in Dar vumbi. Does dar even have any park worth mentioning?
Bwana Kennedy unapoamdika maandishi yako humu usidhani watu hawafiatilii. Kama ninavyoendelea kukuelekeza JF ni jukwaa la wasomi siyo mkutano wa wavuta gundi wa kibera kaka.

1. Hakuna mradi huo unaoutaja, kila mmoja anaijua Nairobi

2. Kenya inakaribiwa na tatizo kubwa sana la kiuchumi ambalo lilitokana na ijinga wenu wa sifa za kijinga. Uhuru alikopa pesa nyingi bila mpangilio kwaajili ya show off eti kuifanya Kenya iendelee chap chap. Kanuni za uchumi haziko hivyo.

3. Kile mlichopata wakati wa Uhuru mnatakiwa kukivuna sasa, IMF imewapatia masharti magumu kwamba lazima Financial deal ifanyiwe kazi tena sasa. Kubana matumizi na kuongeza kodi kwa kila kitu. Mnatakiwa kufanya sasa. Itawachukua zaidi ya miaka 10 kujinasua hapa, but masharti ya IMF lazima yatimie.

4. Rais pekee aliyekuwa na akili tangu kenya iundwe ni Mwai Kibaki. Hawa akina Ruto na Uhuru ni wahuni wa mitaani.
But nitaeleza kwa kina zaidi mkiendelea kunichokoza.
 
Sasa tusumbuliwe vichwa na gorofa za 15 floors? Just show me one county in Kenya that doesn't have a 15 floors building.
Unafaa kujua kwamba hiyo si affordable mzee 😂😂😂 gorofa za bei ya jioni. Hiyo ni luxury apartments.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…