Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Comment yako hii umeiandika ukiwa upo under panic.
Kwanza kumbuka JF ni forum ya wasomi ailimia kubwa ya humu ni watu wenye PHD. So issue zako za Secondary School za kutafuta definition ya maneno humu hazifui dafu. Humu watu wanajadili context, kuhusu tafsiri ya maneno watu wa humu walishatoka huko ni wewe pekee yako humu unaonekana mwenye low IQ.

Pili JF wanauliza kwanini Kenya inaongoza kwa kuangiza na kuvaa nguo za mitumba hapa Africa? JF wanahitaji detailed answer.

Tatu JF siyo mkutano wa walevi, kabla ya mada kuisha na kuelewana unahamia mada nyingine. JF siyo mkutano wa vichaa wanaoishi Kibera wakiwa wanavuta gundi na kutafuna mirungi. JF ni jukwaa linaloheshimika duniani kote, so usituletee tabia za kichokoraa humu.

Nne umegusia kuhusu magari, hivi unajua mpaka sasa kuna viwanda vingapi vya kuunganisha magari Tanzania? Unajua kuwa kuna viwanda vingi sana vya kuunganisha magari Tanzania? Nakusihi kabla ya kujibu hoja zangu kwa mihemko fanya reseach kwanza.

Na mwisho; lakini siyo kwa umuhimu sana, JF wanauliza; Umekula kweli leo?
 
travel to do what thats the point, mfano wewe umeenda kufanyishwa kazi unataka nayo uite umetravel? kwanza umemaliza kufua mashuka ya watu?
 
Remember recently I told them to make google their friend as they keep claiming that Konza is just 2 buildings… infact , there is so much activity right now including housing ( a brand new estate under construction, and it’s just the beginning). Also Konza is the first and only city in Africa with an automated waste management facility… the thing is so high tech it will blow your mind… ( again make google your friend Bongolalas)… 😆😆😆
 
acha maneno mengi leta picha from above utuonyesha more than 2 buildings, and mind you the projects started from kibaki
 
Huku kwetu majizi huwa yanajiuzia yenyewe kimya kimya. Gari nzuri kabisa mtu anajiuzia Tzs 3m. Nyingine wanazi abandon deliberately ili baadae wajiuzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…