mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,460
- 6,886
π€£π€£π€£π€£π€£β¦. Every Bongolala response is predictableβ¦ dispute the current reality by claiming itβs an old photo but donβt respond with facts just with .. β believe me itβs now different ββ¦ that test cannot pass in any civilized societyβ¦.ππMwenzetu Nicxie mbona unahaha sana na kuanza kufukua makaburi ya Dar? Dar ilishatoka huko, picha uliyoleta ni ya more than decade. Lakini Gen-Z wanashukuru kwa kuwaonesha TBT.
Lakini picha hii haikupi uhalali wa kuacha kutuma picha moja ya Drone View ya Nairobi. Kuweka picha ya zamani sana ya Dar es salaam na kukwepa kuweka picha moja tu ya Nairobi watu wenye akili timamu wanaweza tafsiri kuwa ni wendawazimu. Lakini mimi siwezi kukuita kuwa wewe upo na mtindio wa ubongo kutokana na ukosefu wa chakula unaoikumba nchi ya kenya bali JF ni shule Mungu akipenda watu wa humu watakupatia msaada wa dawa ya ubongo wako.
Lakini dunia yote inasubiri picha moja tu ya drone view toka Nairobi
Mukuru slums has more skyscrapers than all of Tanzania outside of Dar .. π€£π€£π€£
Mwenzetu mwaiofhawaii kila mtu anajua namna ulivyotueleza kuwa upo USA unafanya kazi. Hujawahi kutuambia kuwa unafanya kazi gani huko kwenye nchi za watu. Lakini dunia yote inajua kazi za vijana wa Kenya huko ughaibuni ni kuosha vikongwe wa kizungu na kufanya kazi za ndani.π€£π€£π€£π€£π€£β¦. Every Bongolala response is predictableβ¦ dispute the current reality by claiming itβs an old photo but donβt respond with facts just with .. β believe me itβs now different ββ¦ that test cannot pass in any civilized societyβ¦.ππ
Daaayum!!!β¦ Kisumu city is one construction site on fire π₯β¦
Why are you so desperate to know about me β¦ keep working on itβ¦π€ͺMwenzetu mwaiofhawaii kila mtu anajua namna ulivyotueleza kuwa upo USA unafanya kazi. Hujawahi kutuambia kuwa unafanya kazi gani huko kwenye nchi za watu. Lakini dunia yote inajua kazi za vijana wa Kenya huko ughaibuni ni kuosha vikongwe wa kizungu na kufanya kazi za ndani.
Pamoja na kuniporomoshea maneno yote hayo, bado issue ya msingi inabaki pale pale kuwa JF yote inasubiri picha moja tu ya Drone View kutoka Nairobi.
Swali nje ya mada, hivi leo umetimiza wajibu wako huko USA?
Taller than 90% of buildings in Dar CBD.56 meters high
You're living rentfree in his head.Why are you so desperate to know about me β¦ keep working on itβ¦π€ͺ
mbna huu uwanja unaelezewa kila sku shida nn?Show me another stadium in this region with this environment.
View attachment 3604524
tell us moreTaller than 90% of buildings in Dar CBD.
looks like the whole nation is poor, we havent even touched those in the north without waterDaaayum!!!β¦ Kisumu city is one construction site on fire π₯β¦
Bwana mwaiofhawaii hakuna mtu amewahi kukuliza kuhusu kazi yako humu JF kila mtu anajua hilo. Lakini ni wewe mwenyewe kutokana na uwezo wako mdogo wa kufikiri uliutangazia umma kuwa upo Hawaii unafanya kazi huko USA. Ulituma picha nyingi sana ukijifanya kutamba. Je, unakumbuka zile picha ulizituma hapa ukiwa umeweka pause huku umeshikilia bunduki?Why are you so desperate to know about me β¦ keep working on itβ¦π€ͺ
In Singapore the president's role is ceremonial na hana powers nyingi za kuongoza serikali kama za Prime Minister. The government is led by the Prime Minister na ndio alikuja Kenya back in 2023. Bongolala muwache ushamba bana.Wakati akina Ruto na wenzake IamLee Teargass mwaiofhawaii Nicxie nairobae NairobiWalker nyangau mkenya Wakiota nchi yao iwe kama Singapore, leo Rais wa Singapore yupo Dar es salaam tukijadiliana naye biasha. Nimewaomba wakenya watume picha moja tu ya drone ya Nairobi ili aweze kuiona na ndoto ya kenya kuwa Singapore itokee leo
View attachment 3604411
View attachment 3604414
View attachment 3604415
View attachment 3604417
Mbilikimo bado anaangoja nyasi zikose kumea, thinking he knows better than CRBC.Show me another stadium in this region with this environment.
View attachment 3604524
Stupid Kunyarendan huyo ni kiongozi mdogo tu hapo Singapore , nafasi yake ni ya kuteuliwa tu na Raisi.. kwa maneno mengine huyu mtu wako si final say. Anaweza kutenguliwa muda wowote. πππIn Singapore the president's role is ceremonial na hana powers nyingi za kuongoza serikali kama za Prime Minister. The government is led by the Prime Minister na ndio alikuja Kenya back in 2023. Bongolala muwache ushamba bana.
Nyasi enye mnamwagilia kwa kindoo ππππΎMbilikimo bado anaangoja nyasi zikose kumea, thinking he knows better than CRBC.
We ni pumbavu, Serikali ya Singapore inaongozwa na Prime Minister, the president ni kama flower girl tu. Bongolala hamunanga akili, unadhani ju President anachagua PM eti sasa PM hana powers, read books bana, mupunguze ujinga. π π πStupid Kunyarendan huyo ni kiongozi mdogo tu hapo Singapore , nafasi yake ni ya kuteuliwa tu na Raisi.. kwa maneno mengine huyu mtu wako si final say. Anaweza kutenguliwa muda wowote. πππ
Wewe ndio una wivu, halafu unaita washamba πππ kilaza mmoja wewe
Unaona ndoo wapi hapo? Endele kuumia.Nyasi enye mnamwagilia kwa kindoo ππππΎView attachment 3604550
Huoni ndoo nikuonyeshe.? ππUnaona ndoo wapi hapo? Endele kuumia.