Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama sio unakaribia kua chizi basi ushakua chizi tayar,
I asked you to respond to the question objectively,based on facts and evidence..Instead of addressing the actual question, you've shared personal subjective opinions that don't directly respond to the issue being discussed.
I ask again why? or what makes you say that?
See? this is why people rarely respond to you.. unaongea tu maneno haina mwelekeo, mwanza wala mwisho
 
Next time dont respond to things you dont understand
 
Mdogo wetu Nicxie sitaki kusema kuwa uelewa wako upo chini ya kiwango, lakini kwa comment hii inawashawishi members wote wa JF wakuone Zuzu. Lakini pole yangu ikufikie pale ulipo ndani ya Kibera slums

Ewe mdogo wetu, watu wote humu JF wapo busy na kazi zao siyo jobless kama vijana wote hapo Nairobi. Sasa unapoweka videos hizo je, unadhani kuna mtu yeyote hapa JF mwenye akili timamu atazipitia?

Kila member hapa JF anasubiria picha moja tu ya Drone View.
 
BTW 🤣 did i forget to tell you that in the Africa's list you successful contributed 3 slums, thats the only country on earth that has 3 slums in a top 10 list
 
Someone is asking for Nairobi drone views. He must be new here from the look of things. We've been posting pictures like these ones below for the longest time hadi minyamwezi yakaangaza kulalamika hapa ikabidi tuwaache wapumzike kidogo. That guy must be new in this game

And then we have the glorified fishing village 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
are you sure umeangalia the pics umepost?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…