President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,655
- 94,301
Kaka tatizo la kenya wala siyo wakenya wenyewe. Kaka mkoloni alipoingia kenya alibeba ubongo wao wote na kuufungia kwenye makumbusho huko ulaya. Fikiria, hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kujisifia kwa kuongea kingereza? Nchi nzima inajisifu kuwa inaonega kingereza kizuri. Haya ni maajabu.Wakenya ni wachafu kupindukia, Tanzania toka Nyerere kuna viongozi kila mtaa, kijiji wanaitwa mabwana afya/ mabibi afya wanapita mitaani kuangalia utupaji taka, mazingira ya choo na usafi wa mazingira na wanatoa fines ukienda kinyume, hii kitu kwa wakenya haipo em NairobiWalker mna social workers wa aina hii kwenye kila ward hapo Kenya?
View attachment 3604137View attachment 3604138View attachment 3604139View attachment 3604140View attachment 3604141
Tena ni Rais mzima anasema wanaongea English kuliko wazungu 😂😂😂Kaka tatizo la kenya wala siyo wakenya wenyewe. Kaka mkoloni alipoingia kenya alibeba ubongo wao wote na kuufungia kwenye makumbusho huko ulaya. Fikiria, hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kujisifia kwa kuongea kingereza? Nchi nzima inajisifu kuwa inaonega kingereza kizuri. Haya ni maajabu.
Because unlike in Tanzania, Not all construction is done by government.. which is your assumption that- the construction being talked about is all by government.how? half of the budget is used to pay back debts
Kaka ukweli usiopingika ni kwamba mzungu aliwatendea mbaya sana wakenya. 😭 😭 😭 Na cha ajabu zaidi siyo tu kwamba mzungu alivuna akili ya wenzetu bali na Mungu naye alibariki na kuifanya nchi hiyo iwe na njaa ya kutupwa kila mwaka.Tena ni Rais mzima anasema wanaongea English kuliko wazungu 😂😂😂
View: https://x.com/i/status/2019369017744716085
View: https://x.com/i/status/2047402815866187911
Sasa mbona nionee scammer wivu? I can dare you to show me something to prove you but I know you won't show it. Wewe endelea kufuatilia WiFi kwa ofisi za watu😂😂🤣
Kaka yetu IamLee hatujamalizana na picha za Nairobi wewe unaleta za Kisumu!!! sasa battle hii takuwa kama kundi la walevi.
Wewe ni coward sana, bado nangojea malls uliahidi kupost. kwani iilikuwa empty talkKaka yetu IamLee hatujamalizana na picha za Nairobi wewe unaleta za Kisumu!!! sasa battle hii takuwa kama kundi la walevi.
Wana JF wanalia japo walau wapate picha moja tu ya drone view kutoka Nairobi mioyo ya isuuzike.
Kaka unaogopa kuleta drone view photo ya Nairobi? Usiogope hata kama slums zitaonekana mimi nitakutetea 🙏🙏🙏
Are you sure somehow you arent sick?Because unlike in Tanzania, Not all construction is done by government.. which is your assumption that- the construction being talked about is all by government.
Tulishaprove kuwa hautawezana na NairobiKaka yetu IamLee hatujamalizana na picha za Nairobi wewe unaleta za Kisumu!!! sasa battle hii takuwa kama kundi la walevi.
Wana JF wanalia japo walau wapate picha moja tu ya drone view kutoka Nairobi mioyo ya isuuzike.
Kaka unaogopa kuleta drone view photo ya Nairobi? Usiogope hata kama slums zitaonekana mimi nitakutetea 🙏🙏🙏
Why?Are you sure somehow you arent sick?
Kama sio unakaribia kua chizi basi ushakua chizi tayar,Why?
Kila mkunya kwa miaka 5 sasa wanapost picha hizi hziIf there were no so many NGOs in Kenya, Kibera would have been unknown factor .. but Kenya is a popular country, sameway there are slums all over South America but we only know of Brazilian favelas … There are are slums in Southern Africa ( Zambia, Malawi , Mozambique etc) but we only hear of Soweto in RSA coz of the status of Southie ..unfortunately everyone knows Tanzania is a poor country therefore nobody cares much about your slums but they exist whether you accept it or not If you show hereby photos to anyone outside of Dar , 99% of the survey will tell you it’s nothing but an endless slum … ( 50 times bigger than Kibera).. Facts!
View attachment 3603989View attachment 3603990View attachment 3603991
pole bana unaongea kwa huzuni sana and keep staying na facts zako 🤣 🤣If there were no so many NGOs in Kenya, Kibera would have been unknown factor .. but Kenya is a popular country, sameway there are slums all over South America but we only know of Brazilian favelas … There are are slums in Southern Africa ( Zambia, Malawi , Mozambique etc) but we only hear of Soweto in RSA coz of the status of Southie ..unfortunately everyone knows Tanzania is a poor country therefore nobody cares much about your slums but they exist whether you accept it or not If you show hereby photos to anyone outside of Dar , 99% of the survey will tell you it’s nothing but an endless slum … ( 50 times bigger than Kibera).. Facts!
View attachment 3603989View attachment 3603990View attachment 3603991
Sasa ndugu yetu British Bulldog!!! unaleta kundi kubwa la links za Youtube videos nani ataanza kupitia kila video na kuona drone view ya Nairobi?
Nguvu ya kutafuta video zote hizo nyingi umeipata, umeshindwa kuleta video moja tu ya drone view ya Nairobi?
Sasa hivi ni mwaka wa tatu tunawasihi ndugu zetu mtuletee drone view video lakini mnaishia mitini.
Members wa JF wanauliza kwanini ndugu yetu Nicxie hutaki kuleta drone view photo ya Nairobi?
Hasira za nini bwana IamLee sasa kuniita coward kutakuondolea maumivu ya umasikini uliokomaa huko Kenya? Kuhusu issue ya malls unayoiimbua tena leo tuliipigana vizuri sana na ukawa unavizia tumelala usiku wa manane unatuma picha ili usijibiwe. Tukiamka asubuhi tunakuna maelfu ya picha na tunashindwa kuzichambua.Wewe ni coward sana, bado nangojea malls uliahidi kupost. kwani iilikuwa empty talk
kwahio mmesema kabisa picha mpya hamna sioKijana wa Tandale, what's your understanding of the word drone view? Videos zote nimeleta zimechukuliwa na drones and here you are still asking me to post drone views!!!
Dealing with bongolalas ni shida tupu!
Ama unataka nipost kitu kama hii ndio ujue ni ya drone?View attachment 3604220