Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njwang'a mutaendelea kupokea kama kawaida. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Cry harder, tunajua munapenda kulialia.

Picha hii ya kawaida sana. Hizo Horizontal Photograph zinaficha mengi mno. Tangu mwaka juzi tunaomba mtuletee drone view ya Nairobi mnakimbia.
 
Unajisumbua sana kuweka video nyingi hapa JF, unadhani ni nani atapoteza muda wa kuanza kuzipitia video hizo zote? Wewe weka picha kama ile picha uliyoweka ya horizontal. Weka picha ya drone view.

Kila mtu anajua kwa jinsi Nairobi ilivyo ndogo just one shot ina cover jiji zima.
JF inakutaka ulete Drone view photo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…