Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka hakuna mtu yeyote humu aliyekwambia usimpinge Rais kulingana na uelewa wako. But between line ya maelezo yako yamejaa chuki nzito ambayo haijawahi tokea tangu ulimwengu uumbwe.

Je, ni kipi kinachokufanya useme Rais Samia IQ yake ni ndogo? Huna sababu yoyote kaka. Ili kukuona huna sababu yoyote ni pale unapokuza trivial issue ya yeye kuacha kulieleza kwa kina swali la mwandishi wa habari alipomuuliza kuhusu sanction.

Wakati Rais ilizungumza mengi sana huko Urusi. Alitoa hotuba kwenye jukwaa kubwa St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF). Jukwaa hilo lilihudhuriwa na watu zaidi ya 20,000.
Vilevile alihutubia chuoni.

Wewe umeng'ang'a na swali la sanction tu.

"Unasema mambo ya kudharau wanawake hujayasema." Kaka dharau haisemwi dharau inaonekana na sisi tunatafsiri, kinachotakiwa ujitanbue na urekebishe tabia hiyo mbaya.

Badilika kaka utaanza kuona dunia kwenye picha nyingine tofauti.
Na ninakusihi hebu tujadili kwa kina hii visit ya Rais huko Urusi kama kweli wewe ni mzalendo kuliko trivial issues.

Asante
 
Everyday we share figures here indicating that Kenya has more daily flights than Tanzania huwa mnasema ni data za kupikwa. Sasa leo mnasherehekea data za kupikwa?
Minyamwezi mnatia huruma sana
If we wanted kupika tungekua tushapika mda mrefu, in tz data zinaendana na uhalisia wa maisha if GDP Ni $1 we can feel a true $1
 
How would you know when you share tweets you haven't read? Ungesoma link ya hiyo tweet like I did, haungeniuliza hilo swali
mbna kama unataka kulia shida nn? kuna sehem yoyote nmesema millionaires?
 
We are here talking about local motor vehicle manufacturing and assembly then uko hapa ku brag about second hand buses you import from China.. 2 different levels
 
The tweet you shared mentioned them. Why are you irritated by your own post Nyamwezi?
basi nenda uliza hio tweet, mm amna sehem nmeongelea millionaires na hata tungesema millionaires still tunajua ni politicians ndo mnao,
 
Kufeli primary then ukapata zero 4 na 6 ni ishara ya uwezo mdogo wa kiakili; fact isiyopingika.

Okay, tufanye uko sahihi. mama yetu ni kichwa kwelikweli yaani hata mayunivasiti yanamtunukia mavyeti tu kila kukicha.
Zimebaki Honoris Causae ngapi atunukiwe amzidi Albert Einstein kwa akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…