chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Na nusu ya hizo flights Kenya ni za Ruto tu, Kenyans are way broke to flyTanzania Now Handles More Daily Flights Than Kenya
New scheduled departure data shows Tanzania's combined airport network now records more daily flights than Kenya. Dar es Salaam handles 86 daily departures, Zanzibar 82, Arusha 55, Serengeti 31, and Kilimanjaro 27. Tanzania is not building a hub. It is building a multi-node aviation network tied...uchumi360.com
Mimi nimeanza kusoma wewe hujazaliwa. Hivi vitabu havina masaada na wewe kwakua akili mtu huzaliwa nazo na kamwe akili haipatikani kwenye idadi ya vitabu mtu amesoma ama muda aliospend shule.NB: kwa kukusaidia tu soma kitabu Why Nations Fail cha Daron Acemoglu na James Robinson. Hiki ni kitabu cha taaluma ya siasa. Kinaeleza kuwa nchi zinafanikiwa kwa sababu ya kuwa na taasisi imara (inclusive institutions), na sio kwa sababu ya kuwa na viongozi wema au magenius.
Hiki hapa:
Kaka unahaki ya kumkosoa Rais wa Tanzania unavyoweza lakini siyo kuushusha utu wake. Unapomwita Rais Samia kuwa yeye siyo genius, hajasoma, hana IQ kubwa lengo lako ni nini? Lengo lako ni kushusha hadhi yake na kudhalilisha Taifa la Tanzania.Mimi sinaga muda wa kukosoa watu miaka yote niliopo hapa.
Yule ni mtu kwenye nafasi ya uongozi na ni haki ya kila raia kutolea kauli or kuexpres disatisfakshen zao dhidi ya pafomansi yake.
Ona sasa unavyovimba na kujiona wewe mkubwa. Ndio tabia zenu Diaspora. Unaposema umeanza kuvisoma vitabu hivyo kabla sijazaliwa unaujua umri wangu?Mimi nimeanza kusoma wewe hujazaliwa. Hivi vitabu havina masaada na wewe kwakua akili mtu huzaliwa nazo na kamwe akili haipatikani kwenye idadi ya vitabu mtu amesoma ama muda aliospend shule.
Kushindwa tu kufanyia kazi reports za CAG kila mwaka says a lot.
Did Mama samia write that headline?Tanzania Now Handles More Daily Flights Than Kenya
New scheduled departure data shows Tanzania's combined airport network now records more daily flights than Kenya. Dar es Salaam handles 86 daily departures, Zanzibar 82, Arusha 55, Serengeti 31, and Kilimanjaro 27. Tanzania is not building a hub. It is building a multi-node aviation network tied...uchumi360.com
Mama Samia ni mwandishi wa habari? Are you an idiot?Did Mama samia write that headline?
Wilson Airport Nairbi handles 150 flights per day.
That would make our small domestic airport BUSIER than Dar and Arusha airports combined.
Tunajua kuhusu Dongo Kundu. Hakuna kitu kigeni hapa.
Everyday we share figures here indicating that Kenya has more daily flights than Tanzania huwa mnasema ni data za kupikwa. Sasa leo mnasherehekea data za kupikwa?
Prove your claimEveryday we share figures here indicating that Kenya has more daily flights than Tanzania huwa mnasema ni data za kupikwa. Sasa leo mnasherehekea data za kupikwa?
Minyamwezi mnatia huruma sana
Peleka maumivu TandaleTunajua kuhusu Dongo Kundu. Hakuna kitu kigeni hapa.
Read the first statement of that tweet huyo Kilaza wenu alipost.Prove your claim
Still ordinary… Go to Konza and you will find some facilities that are found nowhere else in Africa … I dare you to dispute so I can embarrass you …😆😆
ivi Teargass and mwaiofhawaii walisema there are more rich people in mathare?
View: https://x.com/bbcswahili/status/2063259663601188869?s=20
Sasa mmeanza kujenga … this happens daily in Kenya especially Nairobi suburbs of Kilimani, Lavington, Westlands and Parklands … make google your friend..Hii hapa miradi ya masaki mipya liyoanza ujenzi wake mwaka huu na inatarajiwa kukamilika hapo mwakani 2027.
1.
View attachment 36028832.Golden paradise View attachment 36028843.View attachment 36028864.Devine serenity View attachment 36028875.View attachment 36028886.View attachment 36028917.Golden residency View attachment 3602897