Point yangu ni kwamba huo uwanja ni low quality. Show me any modern stadium with such winding stairs inside the terracesPoint yako hapa ni nn, kwamba hakuna uwanja wenye ngazi kama hzo auuu?
Siku nikiwa Tanzania nitakwenda.Acha kutupigia kelele humu nenda JNICC mchana sa nane ukaulize swali lako. Nenda pale kaulzia maswali yako yote utapata ufafanuzi zaidi
View attachment 3602772
Moja ya hizo viwanda 2000 ndio hii hapa 🤣🤣🤣🤣🤣Yet AZAM dominates every sector in bongoslum. Bakhresa na MO ndio wameshikilia FMCG industry huko bongoslum while trying to compete with Kenyan and global brands which are of superior quality. Lakini mbona uite poshomill kiwanda. 😂 😂 😂 Eti viwanda elfu mbili.
Atakuambia ni data za kupikwa 🤣🤣🤣You want to go on a comparison spree of textile manufacturing?
Athi River area near Nairobi produces and exports more clothes than Bongolala, Uganda and Burundi combined.
Ungelikua na hata iota ya akili ungetambua Tanzania is a captured state na kundi la mafisadi na ndio wanapanga nani awe huko Usalama.Hakuna Speach hiyo, hizo ni cheap Propaganda mzee, tunazijua. Hizo ni tabia za Ki Maria Sarungi kila mtu analijua hilo. Kuandika uongo
Urais ni Taasisi siyo ufalme wa kujichagulia tu wewe unachotaka. Taasisi za Usalama ndio zinazofanya kazi siyo matakwa ya mgombea Urais. Nimekuambia wewe bado sana kujua masuala ya National Interests
Taasisi zote za usalama duniani zinafanya analysis na kuweka mtu anayefaa katika eneo husika kwa wakati husika. Sasa unataka kutuambia wewe unaakili kuwazidi watu wote waliopo huko kwenye Taasis ya Usalama?
Nilikuwa najua kuwa wewe ni mjinga lakini si kwa kiwango hiki
Kwenye Uongozi hatuhitaji genius or whatever unachojaribu kusema. Tanzania we have stable system not a person. Nchi zote duniani zinatengeneza stable system siyo person. Magufuli alifanya hivyo kwasababu System ili m brand hivyo not him. Kwa kuwa wewe ni short sighted unadhani Magufuli alikuwa hivyo kwa sababu yake mwenyewe.Iko hivi bwana mdogo:
Akili:
Akili ni talent mtu anazaliwa nazo.
Shule:
Shule ni nyumba za kutoa maarifa, kupunguza na kufuta ujinga.
No level of schooling can transform someone into a genius; intelligence is a natural talent, not merely a product of education.
Yote iliyoorodhesha hapa kuhusu yeye ni vielelezo tosha ya nini nasema.
Swali dogo tu lililo hitaji akili kashindwa kwakua hana akili za ziada. 🚮
Sasa unajiita genius halafu unakimbilia kwenye nchi zilizotengenezwa na wenzako 🤣 🤣 🤣 🤣 Huo ni ufalaSiku nikiwa Tanzania nitakwenda.
Shukran kwa ukaribisho na ushauri🙏
Ulikuwa wapi wewe genius wakati hao mafisadi waki capture hiyo Tanzania? 🤣 🤣 🤣 🤣 Childish argumentUngelikua na hata iota ya akili ungetambua Tanzania is a captured state na kundi la mafisadi na ndio wanapanga nani awe huko Usalama.
But huna akili.
Sasa kama hiyo taasisi inafanya kazi zake vyema, ikawaje itokee yaliyo tokea kwenye uchaguzi?
Ulikuwa mtalii tu shuleni. Nikiwa Tanzania nitaanza nita anzisha hamsa ili your likes mrudishiwe school fees. 🚮
Unazidi kuexpoz ujinga 🚮Kwenye Uongozi hatuhitaji genius or whatever unachojaribu kusema. Tanzania we have stable system not a person. Nchi zote duniani zinatengeneza stable system siyo person. Magufuli alifanya hivyo kwasababu System ili m brand hivyo not him. Kwa kuwa wewe ni short sighted unadhani Magufuli alikuwa hivyo kwa sababu yake mwenyewe.
Kinachokusumbua wewe ni kwasababu ni mwanamke kuwa Rais wa Tanzania. Tena mwanamke wa kwanza kutoka Zanzibar, wote wanataka kupiga shoti ni wanaume ili ionekana wanawake kutoka Zanzibar si chochote si lolote.
Kila mtu analijua hilo
Umeongea ukweli mkuu.. kadiri ninavyoendelea kutembea Tanzania na kujishughulisha kutafuta taarifa, sasa najua ukweli kuhusu nchi yangu.Kwenye Uongozi hatuhitaji genius or whatever unachojaribu kusema. Tanzania we have stable system not a person. Nchi zote duniani zinatengeneza stable system siyo person. Magufuli alifanya hivyo kwasababu System ili m brand hivyo not him. Kwa kuwa wewe ni short sighted unadhani Magufuli alikuwa hivyo kwa sababu yake mwenyewe.
Kinachokusumbua wewe ni kwasababu ni mwanamke kuwa Rais wa Tanzania. Tena mwanamke wa kwanza kutoka Zanzibar, wote wanataka kupiga shoti ni wanaume ili ionekana wanawake kutoka Zanzibar si chochote si lolote.
Kila mtu analijua hilo
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kaa huko huko nje sisi watanzania tunafurahi. Hatutaki u genius wako. Kaa huko huko ulaya na mababeru na Maria sarungi wakoUnazidi kuexpoz ujinga 🚮
Taasisi, system zote zina eleweka na yeye yupo tu kma gogo.
Ndio maana akitoka nje ya system na hizo taasisi na kukaa kikaangoni na kitwangwa maswali anakuwa hana tofauti na bodaboda rider🚮
Wewe una matatizo.Sasa unajiita genius halafu unakimbilia kwenye nchi zilizotengenezwa na wenzako 🤣 🤣 🤣 🤣 Huo ni ufala
Mi sio kundi la Maria na sijawahi.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kaa huko huko nje sisi watanzania tunafurahi. Hatutaki u genius wako. Kaa huko huko ulaya na mababeru na Maria sarungi wako
Wewe huna matatizo? Kama huna matatizo kipi kimekufanya ukimbilie nchi za watu?Wewe una matatizo.
Nioneshe wapi nimeclaim kimaandishi kuwa mimi ni genius🤔
So kwahiyo wewe siyo genius? Kwanini unataka Rais Samia awe genius? Toa maelezo ya kuelewekaNioneshe wapi nimeclaim kimaandishi kuwa mimi ni genius🤔
Mi sio kundi la Maria na sijawahi.
Sisi tumepoteza muda wetu wa zaidi ya mika 7 tunawapinga hao waki a Maria kwenye kila platform pamoja na hapa JF.
Labda kama wewe ni mgeni.
Mimi sio Mkenya nikimbie nchi.Wewe huna matatizo? Kama huna matatizo kipi kimekufanya ukimbilie nchi za watu?
So kwahiyo wewe siyo genius? Kwanini unataka Rais Samia awe genius? Toa maelezo ya kueleweka
Wewe umekulia ulaya unataka kutuchagulia sisi tuliokulia Tanzania namna ya kuishi? Watanzania tumekataa kuwa controlled na nyie diaspora.Mimi sio Mkenya nikimbie nchi.
Huku nilipo ndipo niliko kulia tangu kijana mdogo.
Kiongozi ni lazima awe na maono sio kutegemea taasisi na system 🚮
Nchi haiendeshwi na maono ya kiongozi mmoja. Nchi inaendeshwa na dira. Ndio maana tulikuwa na Dira iliyoishia 2025 na sasa tupo na Dira inayoishia 2050.Kiongozi ni lazima awe na maono sio kutegemea taasisi na system