The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Unaijua kkoo au umehadithiwa?Alafu mtu anakwambia Kariakoo Kariakoo. Yani the number of 20+ floor towers under construction in Nairobi now are more than the total number of buildings in Kariakoo. 🤣 🤣 🤣
View: https://twitter.com/Bygones_24/status/2063178396541112545
HAKUNA FACT YOYOTE ni chuki tu inakusumbua na utoto"kusosoa kila kitu hata kitu ammbacho hakina msingi."
Wapi nimepinga kila kitu?
Mimi nimesimama sehemu moja: Samia hana uwezo mzuri wa kiakili na alifeli kuanzia primary to secondary na elimu yake ni ya kuunga-unga.
FACT.
Also"kusosoa kila kitu hata kitu ammbacho hakina msingi."
Wapi nimepinga kila kitu?
Mimi nimesimama sehemu moja: Samia hana uwezo mzuri wa kiakili na alifeli kuanzia primary to secondary na elimu yake ni ya kuunga-unga.
FACT.
Kwan unataka kubishana na realityAny typical photos of Kibera we see here posted by Bongolalas don’t reflect the reality happening on the ground. In 2 years time, half of Kibera we know will be in skyscrapers…and the journey continues…
View attachment 3602649
Sasa tueleze wewe umewahi kuwa hata monitor darasani?HAKUNA FACT YOYOTE ni chuki tu inakusumbua na utoto
Kinachokusumbua ni chuki tu kaka, zingine ni sababu tu.
Wapo akina Jomo Kenyatta walikuwa hawana shule lakini wanaheshimika huko Kenya.
Wapo akina Kishimba wameishia la saba, but ni matajiri.
Wapo akina Bhakresa wameishia la saba but ndio matajiri wakubwa Tanzania.
Tuambie sasa wewe unayejiita msomi umelifanyia nini taifa la Tanzania? Do you have any legacy in this country?
Mtu unaye mdharau amewahi kuwa Waziri wa Office ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mtu unayemdharau amewahi kuwa Naibu Spika wa bunge la Katiba, huku spika akiwa ni Samuel Sitta, Huyu unayemdharau amewahi kuwa makamu wa Rais, Na Magufuli alimsifia.
Sasa tueleze wewe umewahi kuwa hata monitor darasani?
😀😀Duh ni njaa wanataka waikimbie? We live in their heads permanent rentless client
View: https://x.com/i/status/2063296247667036182
Kibera is there to stay forever, hakuna siku slums zitaondoka Kenya, ndiyo kwanza zimeongezeka maradufu.Any typical photos of Kibera we see here posted by Bongolalas don’t reflect the reality happening on the ground. In 2 years time, half of Kibera we know will be in skyscrapers…and the journey continues…
View attachment 3602649
Dar ikirekebishwa mitaa miwili tu huu uzi utakua umefungwa rasmi. Miradi kama hiyo kwa Dar inafanyika kuibadili Sinza yote. Sinza is almost half of the Nairobi city. 😂😂😂Wooow!!!!… All of Kibera slums will be gone in under 10 years … but Uswaziland aka Dreamhouses will remain the shining armor of Dar is a Slum for another 100 yrs🤪