Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nicxie kichaka chako nakukata huku. Hizo spaces from one seat to another hizo hapo. πŸ‘‡πŸΎView attachment 3599672View attachment 3599673
Huyo anajifanya mwehu, space ninayozungumzia mm siyo hiyo anayosema, yeye amechukua picha ambayo seats zilikuwa zimewekwa reserve kwa ajili ya kusubiri zifungwe, eti akapost kwamba seat zimebanana. Seat gn zinawekwa vile, anafikiri sisi hatuna akili kama wao? Mm nazungumzia ile style yao ya kuweka seat vile umewahi kuona wapi duniani kama sio kwenye affordable stadium πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…