Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ni treni 4 zinajaa zote a day before, hii ni kesho treni 3 zimejaa tayari, hii express mpaka saa 1 baadae hupati seatView attachment 3598523
Japo train passengers' service is not a super profitable segment ya transportaion kwa TRC lakini kwa mwendo huu na mapato yanayopatikana from passenger service TRC imeweza kuanza kujimudu kiundeshaji na hapo bado inaishia Dodoma tuu Mwanza na Kigoma ikikamilika mapato ya passengers yataongezeka 5 times na hapo bado cargo haijanza with full force.
 
Uliwahi kuona wapi fenicha za nyumba zinawekwa ndani kabla ya kupaka rangi. Hiyo talanta itakuwa na finishing mbovu sana.
Walianza kuweka viti wao ila tunamaliza pamoja
 
Talanta Stadium is stuck sioni progress yoyote recently bado wanasubiri hela toka serikalini? Arusha itaisha kabla ya Talanta japo wao walikuwa mbele kiutekelezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…