Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ni treni 4 zinajaa zote a day before, hii ni kesho treni 3 zimejaa tayari, hii express mpaka saa 1 baadae hupati seatView attachment 3598523
When your “ Bush stopper Train” acquire this , then you can have the nerve to talk … hapa ni Kenya si ulaya …
IMG_8926.jpeg
 
Mtu yupo USA anafanya kazi za ndani kuosha vikongwe wa kizungu. Halafu anakuja kutupigia kelele sisi huku. Ngoja tumuulize mwaiofhawaii unatuma lini remittance Turkana kwa kutumia Nala ya Tanzania?
anaonekana maskini sana maaana hata akili ya kawaida hana, wenzake wanakataa ebola yeye anasema ni influential project, uongo ndugu mwaiofhawaii ?
 
Back
Top Bottom