joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Changing patterns in foreign investments into Kenya
Wakati njaa inaendelea kudhohofisha nguvu kazi ya Kenya, investors nao wameamua kuachana na Kenya
Em nipe pictures za masoko yenu (public markets)
Tanzania public markets
Uliambiwa ni 2kg not 1Life sucks in Kenya unga 140 hahaha eti mtanzania atoe 2800 anunue unga kilo moja? Hiyo pesa anakula chakula cha kushiba yeye na familia yake whole day.
Mkate shilingi ngapi?
Ati sokoni.Em nipe pictures za masoko yenu (public markets)
Tanzania public markets
All LDC maisha ni rahisi...pia uganda na rwanda ni ksma hapo kwenu....Today's observation ni kwamba wakenya wameshangazwa sana na jinsi gharama za maisha Tanzania zilivyo chini hasa bidhaa za vyakula.
Hii inatoa pictures kwamba Tanzania maisha ni standard na suala la chakula halimuumizi mtanzania kichwani kama mkenya zaidi ya 69% ya muda wake anafikiria namna ya kupata chakula ndio maana bei za vyakula hasa unga huwa zipo front page is a very sensitive topic
Tanzania hutakaa usikie debate ya bei ya chakula fulani specifically never.
Hivi Egypt, Nigeria na South Africa nao wanapewa food donations kama Kenya?, wana big slums without toilets kama Kenya?, wana poverty kama Kenya?Ati sokoni.
labda watu wa upcountry
All LDC maisha ni rahisi...pia uganda na rwanda ni ksma hapo kwenu....
enda nigeria,ghana,sA,egypt then ulinganishe na kenya kama si sawa.
Ugali flour goes missing as government maize subsidy endsAti sokoni.
labda watu wa upcountry
All LDC maisha ni rahisi...pia uganda na rwanda ni ksma hapo kwenu....
enda nigeria,ghana,sA,egypt then ulinganishe na kenya kama si sawa.
Cheka tu, Usije ukantafuta kuomba kazi tu[emoji23]Hahahaha... Hahahaha very funny.
we boya sana....๐๐๐๐Kenya kuna malls....markets ndio za ujinga gani...look at this fool!! majority of Kenyans shop in supermarkets, not Kariakoo-like shitholes๐๐๐
kawaida ya mvimba chumvi๐๐๐๐๐sio kwa hasira hiloyaani ukurasa wa 16 waturuki wanakunywa vumbi kukunywa
ujinga hautakuacha salama๐๐๐๐๐Bei ya bidhaa tanzania ipo chini kwa sababu Tanzania sio nchi yenye umuhimu wowote kibiashara ukanda huu...wajinga wana expect bei ya bidhaa nchini Kenya iwe sawa na bei ya bidhaa Tanzania huku kampuni zote za ng'ambo zipo nchini Kenya zinafanya biashara...bei ya ardhi tu inapanda asilimia 500 jijini Nairobi kwa sababu ya wawekezaji kama Hilton Hotel, Coca Cola, Google na Microsoft
soda take away kenya ni 70 ksh tanzania ni 50kshLife sucks in Kenya unga 140 hahaha eti mtanzania atoe 2800 anunue unga kilo moja? Hiyo pesa anakula chakula cha kushiba yeye na familia yake whole day.
Mkate shilingi ngapi?
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
no no no ndinda cant be in dar may be somewhere in casablanca๐๐๐masela leo bata wapi? Hamjachoshwa na mapovu ya kaskazini ?
Havoc is On Fire today , let me kill the bottles .
no no no ndinda cant be in dar may be somewhere in casablanca๐๐๐
Because they are shitholesAti sokoni.
labda watu wa upcountry
All LDC maisha ni rahisi...pia uganda na rwanda ni ksma hapo kwenu....
enda nigeria,ghana,sA,egypt then ulinganishe na kenya kama si sawa.