President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,647
- 94,285
Tanzania Women's Football League vs Kenya Men’s Football League salaryGusii stadium nyumbani kwa Shabana Fc ujenzi umeanza wa uwanja mpya. Sportpesa League itasumbua sana hapo mbele.
View: https://x.com/i/status/2053392770027430124
Licha ya ku-charge zaidi, yanga full season revenue kutoka Kwa gate ni ksh 41m, hizi numbers hazina tofauti kubwa na Gor ambayo imekuwa ikifanya vibaya last season 😂😂😂Which gate collections?
Yanga Gate Collection for whole year is $470,500 USD
Simba Gate Collection for whole Year is $560,300 USD
Go Mahia is $170,000 for whole year. Sasa tuambie unajivunia nini hapa? 🤣 🤣 🤣 🤣
UongoLicha ya ku-charge zaidi, yanga full season revenue kutoka Kwa gate ni ksh 41m, hizi numbers hazina tofauti kubwa na Gor ambayo imekuwa ikifanya vibaya last season 😂😂😂
wacha wee, tell us moreLicha ya ku-charge zaidi, yanga full season revenue kutoka Kwa gate ni ksh 41m, hizi numbers hazina tofauti kubwa na Gor ambayo imekuwa ikifanya vibaya last season 😂😂😂