Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Nani aanze kupitia video hiyo? Learn how to communicate in social media and forums. Unapoteza nguvu yako.Kijani ridge, πππ
No stone walls allowed
No overhead cables
Paved roads
No Hawking
No speeding
View: https://m.youtube.com/watch?v=_s_NEDgdbXE&pp=ygUMa2lqYW5pIHJpZGdl
Nionyeshe revenue collected from hizo club tatu from previous matches. Budgets bila revenue ni upumbavuDuh!! yaani Dawa ipenye hivyo. Unajua budget ya Simba, Yanga na Azam kwa msimu mmoja?
Check hapa:
Klabu Thamani ya Shilingi (TZS) Thamani ya Dola (USD) Yanga SC Bilioni 33.7 ~$16.84 Milioni Simba SC Bilioni 29.5 ~$14.78 Milioni Azam FC Bilioni 12.0 β 15.0 ~$6.00 β $7.50 Milioni
Dawa imepenya vizuri πππNani aanze kupitia video hiyo? Learn how to communicate in social media and forums. Unapoteza nguvu yako.
Nenda kalime upate food
You are stupid. Uliza wakenya wenzako. Yaani uulize source of revenue kuhusu timu zinazoshindanaNionyeshe revenue collected from hizo club tatu from previous matches. Budgets bila revenue ni upumbavu
Hamuwezi kushindana na sisi kwenye ushabiki wa mpira.Sisi hatuna battle na nyinyi kwenye michezo mzee, wacha kujipa umuhimu, sisi battle letu na SAView attachment 3599206
Tuonyeshe revenue collected Kwa gate achana na pesa za CAFYou are stupid. Uliza wakenya wenzako. Yaani uulize source of revenue kuhusu timu zinazoshindana international!!?
Young Africans SC (Yanga)Nionyeshe revenue collected from hizo club tatu from previous matches. Budgets bila revenue ni upumbavu
Tuliza tako lako hapo nikupatie vitu vichache:Tuonyeshe revenue collected Kwa gate achana na pesa za CAF
Me si nmekuambia huyo ni kichaa, kwa akili zake anataka kushindanisha na gor maia, yn matimu kila mwaka yanafika mbali kwenye michuano ya caf alafu uje ulinganishe na vitimu vyao vinavyoishia round za mwanzo mwanzo. Hizo jezi tu wakenya wanavaa jezi za simba na Yanga kuliko jezi za timu zao na jezi za timu za ulaya.You are stupid. Uliza wakenya wenzako. Yaani uulize source of revenue kuhusu timu zinazoshindana
international!!?
This Teams owns assets.
Tuonyeshe revenue collected Kwa gate achana na pesa za CAF
Angalia alivyo kichaa, eti mpaka leo anaongelea gate collection, hv timu zenu zitajenga viwanja kweli kwa akili za namna hii?Tuonyeshe revenue collected Kwa gate achana na pesa za CAF
Huyu Reborn Ktb ndio katoka Kibera juzi. Anadhani source of revenue ya football team ne gate collections pekee π€£ π€£ π€£ π€£ Football clubs za Tanzania zinajiendesha kibiashara. Siyo kama zao bado zipo kwenye mashindano ya ridhaaMe si nmekuambia huyo ni kichaa, kwa akili zake anataka kushindanisha na gor maia, yn matimu kila mwaka yanafika mbali kwenye michuano ya caf alafu uje ulinganishe na vitimu vyao vinavyoishia round za mwanzo mwanzo. Hizo jezi tu wakenya wanavaa jezi za simba na Yanga kuliko jezi za timu zao na jezi za timu za ulaya.
Nyie kweli hatuwawezi, mana nyie ni wateja wetu. Mnashabikia ligi yetu, mnashabikia Simba na Yanga.Hamuwezi kushindana na sisi kwenye ushabiki wa mpira.
Kutegemea gate collections utapata wapi elite player? Average collection for each match Gor Mahia is $6,000 USD to $11,500 USD msimu wote Gor Mahia anapata collection ya $170,000 hadi $200,000 USD gate collection.Angalia alivyo kichaa, eti mpaka leo anaongelea gate collection, hv timu zenu zitajenga viwanja kweli kwa akili za namna hii?
Wamekubali kwamba kwenye gate collections Sportpesa League Iko mbele Yao. League bila ushabiki ni upumbavuHuyu Reborn Ktb ndio katoka Kibera juzi. Anadhani source of revenue ya football team ne gate collections pekee π€£ π€£ π€£ π€£ Football clubs za Tanzania zinajiendesha kibiashara. Siyo kama zao bado zipo kwenye shindano ya ridhaa
Kando na kariachoo derby hakuna mechi zakuangalia tz. Timu ilipanda last seasonKutegemea gate collections utapata wapi elite player? Average collection for each match Gor Mahia is $6,000 USD to $11,500 USD msimu wote Gor Mahia anapata collection ya $170,000 hadi $200,000 USD gate collection.
Wakati Sign-on Fees tu huku Tanzania timu inalipa mpaka $400,000 USD
Which gate collections?Wamekubali kwamba kwenye gate collections Sportpesa League Iko mbele Yao. League bila ushabiki ni upumbavu
Tanzania mambo ya mambasi kwenye clubs tulikuwa tunashindana miaka ya 2002. Tulishatoka huko.Kando na kariachoo derby hakuna mechi zakuangalia tz. Timu ilipanda last season
ππ
View: https://x.com/i/status/2043184650730820028