π π what do you expect them to post when you try competing with the mall capitalHii nayo ni mall? πππ
View attachment 3598999
A mall with one vehicle parked in front and no visible foot traffic!! ππ At this rate, you'll call anything in Dar rising three or four floors a mall
Ati hampendi nini πKaren inaweza shindana na Msasani. Kumbuka watanzania hatupendi kuweka picha kwenye mitandao
Wakuu sijaongeza wala kupunguza kitu, link hii hapa πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£League tumei-revamp juzi na tayari mshindi anakula 20m. Hio ni around $155k
View: https://x.com/i/status/2061163802054230148
4th Place Tanzania anapata $160KLeague tumei-revamp juzi na tayari mshindi anakula 20m. Hio ni around $155k
View: https://x.com/i/status/2061163802054230148
Ndio maana tukionesha picha zetu unajifungia kwenye mashimo kama panya.Ati hampendi nini π
Is this the only housing project? Hii moja imejengwa for 12 years?Teargass IamLee Nicxie nairobae Hii hapa ni Samia Housing Scheme
Na huo mradi wa NHC Kawe 711 both zipo Kawe
View attachment 3599125
View attachment 3599126
Kama upo tayri let go head to head. Nyie mpo na affordable house kila mtu anajua π€£ π€£ π€£ Baada ya miaka mitatu zinaangukaIs this the only housing project? Hii moja imejengwa for 12 years?
Bado sn mna safari ndefu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Wapambane na hunger kwanza π€£ π€£ π€£ π€£Bado sn mna safari ndefu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Dawa imeanza kupenya ππBado sn mna safari ndefu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kuna viashiria vingi sn kuonesha nchi yenye uwezo na ile isiyo na uwezo, angalia kwenye suala la Afcon tu utagundua ni nchi gn inajiweza kati ya Tanzania na kenya, angalia kwenye michezo kwa ujumla, angalia sanaa, angalia chakula, angalia infrastructural transformation utaelewa ni nchi gn maskini zaidi kati ya hizi mbili.Wapambane na hunger kwanza π€£ π€£ π€£ π€£
Duh!! yaani Dawa ipenye hivyo. Unajua budget ya Simba, Yanga na Azam kwa msimu mmoja?Dawa imeanza kupenya ππ
| Klabu | Thamani ya Shilingi (TZS) | Thamani ya Dola (USD) |
| Yanga SC | Bilioni 33.7 | ~$16.84 Milioni |
| Simba SC | Bilioni 29.5 | ~$14.78 Milioni |
| Azam FC | Bilioni 12.0 β 15.0 | ~$6.00 β $7.50 Milioni |
Kenya ni South Sudan iliyochangamkaKuna viashiria vingi sn kuonesha nchi yenye uwezo na ile isiyo na uwezo, angalia kwenye suala la Afcon tu utagundua ni nchi gn inajiweza kati ya Tanzania na kenya, angalia kwenye michezo kwa ujumla, angalia sanaa, angalia chakula, angalia infrastructural transformation utaelewa ni nchi gn maskini zaidi kati ya hizi mbili.
Sisi hatuna battle na nyinyi kwenye michezo mzee, wacha kujipa umuhimu, sisi battle letu na SADawa imeanza kupenya ππ
Siku hizi mnanunua weapon from China mmeachana na USA? π€£ π€£ π€£ π€£ Mmeanza kuiiga Tanzania?
Uyo anafikiri sisi tunaleta masiala kama wao.Duh!! yaani Dawa ipenye hivyo. Unajua budget ya Simba, Yanga na Azam kwa msimu mmoja?
Check hapa:
Klabu Thamani ya Shilingi (TZS) Thamani ya Dola (USD) Yanga SC Bilioni 33.7 ~$16.84 Milioni Simba SC Bilioni 29.5 ~$14.78 Milioni Azam FC Bilioni 12.0 β 15.0 ~$6.00 β $7.50 Milioni