Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wile Tanzanians are flourishing in Kenya as Omba Omba Kenyans dominate business in some parts of Tanzania especially Arusha …
I was surprised to find out Kenyans own the Northern Tanzania tour circuit…
Wacha muanze kulia sasa na response za Njaa na Kibera …🤣🤣🤣
 
Hivi navyo ni vi shopping complex vya kawaida kwa Bongo ya sasa budaa. Usikariri mambo yamebadilika 🤣🤣🤣 hebu ona hili dubwana 👇🏾View attachment 3598571View attachment 3598572View attachment 3598568View attachment 3598564View attachment 3598565
Hata upost angles ngapi, hii angle moja tu inakutosha 😅
Garden city mall
IMG_0382.jpeg
 
Wile Tanzanians are flourishing in Kenya as Omba Omba Kenyans dominate business in some parts of Tanzania especially Arusha …
I was surprised to find out Kenyans own the Northern Tanzania tour circuit…
Wacha muanze kulia sasa na response za Njaa na Kibera …🤣🤣🤣
Ni kama unajiongelesha upumbavu. Huenda huu ujinga ulioandika hapa ungekua na maana 90s sio sasa. Biashara zote unazoziskia Tz zinamilikiwa na watanzania wenyewe foreign investments ni za kutafuta na tochi huku. 😂😂😂 tena kwa sasa ndio kabisa. Kwa maana waTz wanaenda uchina wenyewe. Hakuna mfanya biashara mkenya anawezashindana na mtanzania. 😂😂 hiyo izame kwenye bichwa lako lisilo na akili hilo.
 
Back
Top Bottom