Wewe ni lini utajua types of bus bodies? Unaona Marcopolo ndio unatajwa hapo wewe unakuja na Irizar. Learn about vehicles first ndio uanze kuziongelea.Kwahio ukaamua kuokota news utuletee apa, kwhaio wameskip irizar sio
Serengeti boys to the final, yn kwa ss kila michezo kwa hapa East and Central Africa ni Tanzania tuu 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
Kwa Africa kupata maendeleo ya kweli tusaau, acha tu tujiliwaze na michezo mana maendeleo ya kweli hayawezekani kuwepo Africa, tuna watu wana tamaa sn, so wacha tujenge maviwanja tu yatusahaulishe dhiki tulizinazo.Najjua utabisha ila investment za Viwanja na Barabara unaona kipi kinahitajika zaidi kwa sasa
1. Mfano Mpanda kigoma hamna lami
2. Itigi to Chunya
3. Ifakara to Songea
Unahisi kipi kitatusogeza zaidi kwenye GDP ya 1 trillion .
Ku host Afcon ? Jaribu kucheki impact ya Afcon kiuchumi .
Plus viwanja 6 vinaatosha ku host afcon kama tunahitaji kikijengwa kinginge mji kama Mwanza Afcon inakuwa hosted vizuri .
Argument yangu ni kuwa viwanja ni misprioritization ya fund kwa nchi kama yetu wakati huu tunahitaji Roads , SGr iishe , Grid tujenge 400kv za maana na sio kuzika hela kwenye viwanja vya tournament za mwezi mmoja
Sasa young lady unataka kusema. Nn kuhusu isuzuWewe ni lini utajua types of bus bodies? Unaona Marcopolo ndio unatajwa hapo wewe unakuja na Irizar. Learn about vehicles first ndio uanze kuziongelea.
Serikali kazi yake ni sera sio maendeleo, All unachokiona kutoka nchi za magharibi ni juhudi za mtu mmoja mmoja mfano simu unayotumia ni juhudi za watuKwa Africa kupata maendeleo ya kweli tusaau, acha tu tujiliwaze na michezo mana maendeleo ya kweli hayawezekani kuwepo Africa, tuna watu wana tamaa sn, so wacha tujenge maviwanja tu yatusahaulishe dhiki tulizinazo.
Nenda kajitafute kwanzaYani GDP ya 1 trillion usd inachangiwaje na uwepo wa viwanja vya mipira!?
Africa ina watu wajinga sana
Ni Taifa gani duniani limepiga hatua kwa kuwa na viwanja vingi vya michezo duniani!?
We jamaa, AFCON lengo kuu ni kutangaza nchi watalii waje, serikali ipate FOREIGN RESERVE ndo iweze sasa kufanya manunuzi ya nje ya nchi, ebu kajitafute kwanzaNajjua utabisha ila investment za Viwanja na Barabara unaona kipi kinahitajika zaidi kwa sasa
1. Mfano Mpanda kigoma hamna lami
2. Itigi to Chunya
3. Ifakara to Songea
Unahisi kipi kitatusogeza zaidi kwenye GDP ya 1 trillion .
Ku host Afcon ? Jaribu kucheki impact ya Afcon kiuchumi .
Plus viwanja 6 vinaatosha ku host afcon kama tunahitaji kikijengwa kinginge mji kama Mwanza Afcon inakuwa hosted vizuri .
Argument yangu ni kuwa viwanja ni misprioritization ya fund kwa nchi kama yetu wakati huu tunahitaji Roads , SGr iishe , Grid tujenge 400kv za maana na sio kuzika hela kwenye viwanja vya tournament za mwezi mmoja
Dogo anacheza kiungo kama sio mtoto vileAende nje, na sio Africa, aende ulaya. Najua timu zetu zina misuli ya kumbakisha ila ifike wakati tupeleke watoto nje.
Sasa ile RAO ina madeni juuHawa ******* hawana uwezo wa ku maintain quality ya infrastructure yoyote wanayojengewa, just imagine hii ni kasarani 👇👇View attachment 3597085
Tunamwaga moto kama dragonSerengeti boys to the final, yn kwa ss kila michezo kwa hapa East and Central Africa ni Tanzania tuu 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
Sasa ni kujiliwaza nyamwezi!
Alafu kingine, nchi inahitaji equal investment kote kote, huezi kila budget unawaza barabara, nikupe mfano Serikali inapokea kodi nyingi na mapato kutoka kwenye mpira, wachezaji na club wote wanalipa kodi na serikali inapokea mapato mengi sana, kwa mahesabu ya haraka mpira unagusa watu karibia laki 2, namaanisha kuna wachezaji, madaktari, marefa, makocha, umo umo kuna media houses, saahv ndo usipime kuna masponsor wote hawa wanamwaga mabilioniNajjua utabisha ila investment za Viwanja na Barabara unaona kipi kinahitajika zaidi kwa sasa
1. Mfano Mpanda kigoma hamna lami
2. Itigi to Chunya
3. Ifakara to Songea
Unahisi kipi kitatusogeza zaidi kwenye GDP ya 1 trillion .
Ku host Afcon ? Jaribu kucheki impact ya Afcon kiuchumi .
Plus viwanja 6 vinaatosha ku host afcon kama tunahitaji kikijengwa kinginge mji kama Mwanza Afcon inakuwa hosted vizuri .
Argument yangu ni kuwa viwanja ni misprioritization ya fund kwa nchi kama yetu wakati huu tunahitaji Roads , SGr iishe , Grid tujenge 400kv za maana na sio kuzika hela kwenye viwanja vya tournament za mwezi mmoja
We tafuta wenzako ambao mmeshindwa kufuvu mpige nae storySasa ni kujiliwaza nyamwezi!
Sidhan kama watakuja kupata hio BID standard walioweka moroco inahitaji viwanja vya kisasaHawa uganda nao waache kujenga mabakuli kama talanta, wajenge viwanja vya kisasa, ule uwanja wao bado wa ki Africa kama talanta au nakivubo.
Pamoja Bid ilikua ya tanzania only. Karia alikuja kuleta siasa ndan yake ndo tatizo likaanzia apo, ila Msigwa alisema tumejifunza twende nalo ivo ivo kwa sasa then haitajirudiaTunatakiwa tuandae pekeetu miaka michache ijayo. Tutakuwa na Mkapa, Arusha, Dodoma, Fumba, na Jangwani na wakati huo Simba hawatakubali nao watapambana wapate japo kiwanja cha mpata mpatae.
Na wakapewa na kombe fekiMajinga yanafanya show kuipongeza arsenal wakati hata iyo arsenal hawajui kama kuna nchi inaitwa Kenya. Sisi tunafanya sherehe za timu zetu 😂😂😂😂😂
Ila nn, tushajifunza kwenye hili acha lipite, Baada ya hapa sasa ndo kila mtu ajipambanie, kwanza wanadaiwa $1.3B uwnja mmojaTunatakiwa tuandae pekeetu miaka michache ijayo. Tutakuwa na Mkapa, Arusha, Dodoma, Fumba, na Jangwani na wakati huo Simba hawatakubali nao watapambana wapate japo kiwanja cha mpata mpatae.