Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Which locals? Kwani siku hizi Barick ni local?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚.

All your mines are owned by whites.
 
Dar itakua na 190km of roads like this by only 1$ billion meanwhile naislum ina 27km of expressway by 700$ million, actually ndio wasomi wenye elimu na democracy kubwa 🀑

View attachment 3595419
Remember entire Dar only have 400km of paved roads πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

Nairobi paved road network is 4,000km.
 
Which locals? Kwani siku hizi Barick ni local?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚.

All your mines are owned by whites.
Mgodi kama huu ni wa kupeleka gold Uganda for purification? Yaani mzungu mwenye hundreds of years in the mining industry across the globe ategemee refinery Uganda? We mzima kweli FYI huu sio mgodi mkubwa compared to Barrick


View: https://x.com/i/status/2055088032202866822
 
Chuo cha reli si Tabora Tena?
 
Wazee wa kupika data! Yaani uchukue Dar city center-Kibaha Mpakani, then Dar city center-new Bagamoyo road mpaka mpakani Pwani then Dar city center-Kisarawe hizo 400 km hazijafika? Hivi Hawa mbwa wanajua how big is Dar?
 
Chuo cha reli si Tabora Tena?
Chuo cha Teknolojia ya Reli Tanzania (TIRTEC) Kimeongelewa katika bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Kampasi zake ni Tabora na Morogoro.
Kenya bajeti ya wizara ya Uchukuzi page 112 na 113 na page 188,

Katika mwaka wa fedha 2026/27, Chuo kinatarajia kudahili wanafunzi 750
Course:
1. Usafirishaji kwa njia ya Reli;
2. Matengenezo ya mabehewa
3. Matengenezo ya miundombinu ya reli
4. Teknolojia ya usanifu wa matengenezo ya reli na mabehewa
5. Ufundi Sanifu wa Mifumo ya Umeme kwenye vichwa vya treni
6. Mawasilianona ishara
7. Usafirishaji na udhibiti wa ajali katika mtandao wa reli
8. Uchumi katika usafirishaji
9. Teknolojia ya udereva wa treni
10. Usalama kwenye matengenezo ya miundombinu ya reli

Nadhani Dodoma ni Chuo kipya
 
Muongo muongoze, hana akili huyo 4000km kwa tiny naislum wangekua na lami mpaka uvunguni ukizingatia 60 percent of naislum ni pori na mbuga πŸ˜…πŸ˜…
Unadhani Nairobi nikama Dar is a slum without a grid layout in urban planning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…