Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Whole system in Kenya is currupt from Individuals to coparate Companies.

Hiyo error waliyo weka safariCom is intentional to misread you stupid Kenyans.

Nimekuonesha mistake iliyopo kwenye maelezo but bado unashabikia ujiga

Tafuta chakula, njaa inakufanya uwe stupid
 
Sio error ila ilikuwa ni strategy ya Miaka mitano na sio ya mwaka mmoja
 
Taarifa za fedha za kampuni au financial data haipatikani magazetini bali kwenye taarifa za kampuni ambazo Zinakuwa audited . Unataka tuamini data za gazetini wakati kuna taarifa ya kutoka safaricom ? Au hujui importance of ya report za kampuni?
Shule yenu ya wapi nyinyi eti tuamini gazeti badala ya taarifa ya kampuni husika
 
Sio error ila ilikuwa ni strategy ya Miaka mitano na sio ya mwaka mmojaView attachment 3595006
Kaka soma vizuri pia. Kuna issue ya uongo imewekwa hapo 896.2 billion transactions kwa miaka mitano
Sio error ila ilikuwa ni strategy ya Miaka mitano na sio ya mwaka mmojaView attachment 3595006
Hapo kaka hakuna ukweli wowote soma details hapo ni uongo. Haiwezekani. Hizo hesabu ni za uongo

896.2 Billion transactions kwa miaka 5 ina maana wastani wa miamala Bilioni 179.2 kwa mwaka.

Tukigawa kwa siku, ni miamala Milioni 490 kila siku.

Maana yake kila mkenya anafanya almost transactions 10 kila siku.
 
Bongolala, kwani kazi ya press ni nini? Ama unadhani Kenya ni kama bongoslum kwenye the media is controlled by dictator suluhu.

Anyway cry harder, refer to page 34. hohoho 😂 😂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…