Wanaona six lanes lakini ama tuwape darubini?Makongoro Road - Pasiansi / Ilemela Mwanza
View attachment 3593645
Sema tu watanzania hawapendi kupiga piga mapicha. Ila ikitokea siku moja watanzania wakawa wanapiga picha kila mji uliopo, kuna watu watapotea kwenye social media.Wanaona six lanes lakini ama tuwape darubini?
Wanakumbuka Shuka muda wa swalahswalah π€£π€£π€£π€£it was supposed to happen as there is nothing like unlimited debt,
View: https://x.com/otienowill/status/2058195476265013567?s=20
Mafanikio ya michezo yanaendana na ukuaji wa uchumi huwezi ukawaza michezo au ukashiriki kama Maisha yako ni subsistence living.Sasa sijui itakuwaje mana siku hz kila mchezo ni tz tuu π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Hiyo ni Mabati covered with a karatasi. Once the karatasi are removed you will be welcomed with this π€£πππππNiliona somewhere ukisema kwamba ati tunaweka bati juu ya Arusha stadium.. ππππ Oky here is what we are doing. ππΎView attachment 3593702View attachment 3593703View attachment 3593704ushavua viatu.? Usije ukalala navyo tu. πππ
Unasumbuliwa na Bipolar nenda kwa daktari. Unalazimisha vitu ambavyo siyo sahihi.Hiyo ni Mabati covered with a karatasi. Once the karatasi are removed you will be welcomed with this π€£πππππ
View attachment 3593752
View attachment 3593755
Saahii wanasema bakuli seats are the best in the world. π€£ π€£ π€£bakuli seats si issue tena ?
View attachment 3593774
View attachment 3593776View attachment 3593777View attachment 3593775
Bado tupo kwenye ujenzi. Ndio kwanza tumefika katikatiZe mosti modan sits ini Afirika. π€£ π€£ π€£
Arusha stadium doesn't have exterior LED lights. Google Allianz Arena ujue what exterior LED lights are. That's what Talanta stadium will have.Wewe kima ngoja leo nikikate kichaka chako πππ
1. Exterior LED lights za Arusha stadium zitakua za kipekee zaidi ukanda huu. ππΎ this is Arusha stadium at night when completed ππΎView attachment 3593633View attachment 35936342. There is 18 skyboxes in Arusha stadium
3. Unajisifia water fountains outside Talanta affordable stadium.? πππ Hiyo Talanta ilo na indoor Arena.?
Hizo zingine unataja zote sio qualities za better stadium. πππ
So you are trying to say that this is not Arusha Stadium and this roof is not ya Mabati? Or unajaribu kusema hamtumii lights za baiskeli in your stadium?π€£ππ€£Unasumbuliwa na Bipolar nenda kwa daktari. Unalazimisha vitu ambavyo siyo sahihi.
Siku hizi siskii wakiponda seats za Talanta Stadium, did they get saved or what?πππ€£πZe mosti modan sits ini Afirika. π€£ π€£ π€£