Uko Eldoreti umekuwa ukijengwa mwaka wa 20 huu.Uwanja mmoja wa mazoezi wamegive up, jina nmelisahau ila washatangaza
Uko Eldoreti umekuwa ukijengwa mwaka wa 20 huu.Uwanja mmoja wa mazoezi wamegive up, jina nmelisahau ila washatangaza
They did a lot of manipulations kama kina British Bulldogdo you know at one point Ethiopia has a GDP of $180B and it fell to $90B in a single year?
sema 10th extremely poor nationMzigo umechacha huo dah hasara tupu ukiwa unafanya kazi kwenye one of the poorest countries in the world.
kila mwaka naskia unatengeneza bajeti 😂Uko Eldoreti umekuwa ukijengwa mwaka wa 20 huu.
ndo kinacoenda sasa kutokea pale mathare, the situation is so bad that 90% of tax znatumika kulipa madeni ya nyuma, ata lile bati kwenda kisumu sjui kama linaendeleaThey did a lot of manipulations kama kina British Bulldog
Six months hiyo kwioohe said in 6 months
kilichowaokoa hawa wasipite njia ya Ethiopia ni Eurobond after Eurobond mwisho wake wataanguka kwa kishindo kikubwa kuliko hata Ethiopia wakati ule.ndo kinacoenda sasa kutokea pale mathare, the situation is so bad that 90% of tax znatumika kulipa madeni ya nyuma, ata lile bati kwenda kisumu sjui kama linaendelea
90% ya kodi znatumika kulipa madeni ya nyuma, hapo hujahesabu hizi mpya za ruto, apo hakuna way that devalue pesakilichowaokoa hawa wasipite njia ya Ethiopia ni Eurobond after Eurobond mwisho wake wataanguka kwa kishindo kikubwa kuliko hata Ethiopia wakati ule.
Barabara ya 12km pia ni kitu ya kulipishwa. 😂 😂 😂Uzuri ya kwetu inajengwa na serikali na sio ya kulipia hapo ndio tofauti kubwa ilipo😁
Maneno mengi ya kanga mara uchumi mkubwa kuliko majirani, mara tuna mtandao mkubwa kuliko majirani, mara tunajenga refinery Tanga ni vituko juu ya vituko tuu ila uzuri watu duniani siku hizi wameshawastukia.
Developed kantri 🤣🤣🤣🤣 . Mtu kaweka kiota pale na Kenya power kamuunganishia na umeme duh hatari.
Freedom of the media … a headline like this can never appear on a Tanzanian paper. It would be shut down…as far as Bongo is concerned , everything is running smoothly. Perfect government. So keep posting such to remind yourselves what it means to be free ..🤪