stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,695
- 37,161
hio inaitwa kapito le afrikaDeveloped kantri 🤣🤣🤣🤣 . Mtu kaweka kiota pale na Kenya power kamuunganishia na umeme duh hatari.
hio inaitwa kapito le afrikaDeveloped kantri 🤣🤣🤣🤣 . Mtu kaweka kiota pale na Kenya power kamuunganishia na umeme duh hatari.
15.6Km yenu 10km hata kujenga wenyewe hamwezi mpaka mjengewe bure kabisa nyieBarabara ya 12km pia ni kitu ya kulipishwa. 😂 😂 😂
Haiyaaaa ukona expressway yako ya 15.6km in Nairobi na hatujui. 😂 😂 Expressway tunalipia na pesa zetu kutumia inakuwasha sasa.15.6Km yenu 10km hata kujenga wenyewe hamwezi mpaka mjengewe bure kabisa nyie