joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kwanini ninyi mnapenda kushindanisha vitu visivyokua na faida kwa wananchi wa kawaida?, hivi malls inasaidiaje wananchi wa kawaida?, roads ni muhimu sana, ndiyo sababu Tanzania imejenga barabara nyingi na ndefu za lami kuliko Kenya, hapa Tanzania hakuna mkoa ambao haujaunganishwa na lami, kwenu huko Wajir na Turkana hakuna lami.Tanzanians have no point arguing with us. walete malls, roads, airports, universities, schools sasa. we need to compare our infrastructure sasa sio hii ya kudiss KQ wakati wao hawana airline.
Ni aibu kubwa kwa taifa LA Kenya vijana wameshinda bustani za cbd na kaki envelope
Alafu Nyanya , vitunguu, viazi, Nyama, unga , mchele na gesi ya kuandaa chakula mnatoa Tanzanian
Nilisha uliza humu how long Tanzania will spoon feed Kenyans
Fanyeni kazi vijana ingieni shambani mlime kuwa legelege mnapigwa adi na wanawake sio poa mnatua aibisha
Battle its about Dar es salaam vs Nairobi or TANZANIA vs :????[emoji144]
Unasema nini wewe?, wakenya kibao wapo Tanzania kutafuta kazi za kufundisha na kilimo, umesahau Magufuli alipoingia madarakani aliposema wageni wote wanaofanya kazi Tanzania without work permit jinsi Kenya mlivyolalamika kwamba mnakuwa targeted?, wakenya wengi sana walirudi Kenya, sasa hivi ndiyo wanarudi kidogo kidogo baada ya kufuata sheria za nchi.Kwa nini mtusikilie aibu!? Hatuwaombi chochote! Hebu jiulize,hata kama hakuna ajira Kenya na kunayo tele TZ,kwa nini vijana hawa wasije kutafuta huko kwenu!? Simple,they better hustle in an open-minded ''struggling'' yet progressive Kenya than be in a close-minded ''resource rich'' TZ!
Hahaha hawa jamaa ni vilaza kwanza walikua wanafikiria KQ inamilikiwa na serikali yao kwa 100% kumbe hata 49% haifiki wanajitapa tu na company ya mtu binafsi ndege zenyewe zote za kukodi.
Kwanini ninyi mnapenda kushindanisha vitu visivyokua na faida kwa wananchi wa kawaida?, hivi malls inasaidiaje wananchi wa kawaida?, roads ni muhimu sana, ndiyo sababu Tanzania imejenga barabara nyingi na ndefu za lami kuliko Kenya, hapa Tanzania hakuna mkoa ambao haujaunganishwa na lami, kwenu huko Wajir na Turkana hakuna lami.
Unasema nini wewe?, wakenya kibao wapo Tanzania kutafuta kazi za kufundisha na kilimo, umesahau Magufuli alipoingia madarakani aliposema wageni wote wanaofanya kazi Tanzania without work permit jinsi Kenya mlivyolalamika kwamba mnakuwa targeted?, wakenya wengi sana walirudi Kenya, sasa hivi ndiyo wanarudi kidogo kidogo baada ya kufuata sheria za nchi.
GarissaβNunoβModogasheβWajir Road - Wikipedia
View attachment 673843
just a few photos of road leading to Turkana's headquarter. Za Wajir narusha after few secs
Ni aibu kutuma barabara ya vumbi unasema lami
View attachment 673843
just a few photos of road leading to Turkana's headquarter. Za Wajir narusha after few secs
tatizo sio zenu nadio maana zinawatia hasara leo miaka mitanoππππMnanunua mindege ya shilingi mbili yenye mbali inaeza fika ni Botswana mnajiona mmefika hadi kuwadharau watu wana ndege za kisasa na wanachapa direct flights to Hong Kong, dubai, London, New york n.k....mbongo ni mtu wa ajabu sana
Siku mtafika huku na pangaboy yenyu mfufue hii mada
kumbe inaangalizia badoππππ
rudi page za nyumba mbona muoga sana weweTanzanians have no point arguing with us. walete malls, roads, airports, universities, schools sasa. we need to compare our infrastructure sasa sio hii ya kudiss KQ wakati wao hawana airline.
thanks for renderπππππComing up in Nairobi Residential building
88 Nairobi Tower 44 floors
Its website 88 Nairobi
View attachment 673815 View attachment 673816 View attachment 673817 View attachment 673818
kumbe hua unaongea nonsenseππππAt this rate of your blind aircraft acquisition and outright government ownership,you will very soon learn the hard way on how not to run an ego booster of an airline instead of a profitable one! Governments have no business running businesses but to facilitate conducive environment for public and private run corporates to thrive! KQ is majorly public owned with the government only strategically maintaining a minority share for regulatory purposes. But what do you?
dar alone inaweza pambana na nairobi+ mombasa +kisumu na hamutoboiππππππ±It's a step down now to Tanzania vs Nairobi! Fair enough,it was too ambitious of them to tag NBO vs DAR. Most appropriate would have been DAR vs Mombasa
Kenya Airways asks state to help it with growing competitionThose are the closed-mind policies of yours that I'm focusing on here! For them to have gone that far to impart knowledge as teachers in those far flung areas of Tz,there was a desperate local need for them! It was imperative for Tz govt to regularize their hiring! You don't demonize your saviours. That's why those young men in Nairobi will think twice before engaging in TZ