President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,527
- 94,008
Your stadium is ugly ππππSasa kwa kuangalia tu hapa ni kiwanja kipi kinaonekana cha kipekee? Cha juu au hilo sufuria la chini a.k.a African design View attachment 3591218
Vipi umepata chakula leo?
Atakuwa anamaanisha hii . πππKovu gn mkuu, hebu weka hapa tulione, nmepitwa na mengi π€£π€£π€£π€£
Youβre making noise about just one project from a country with a population of 58.6 million people
Youβre just a loudmouth; you have nothing meaningful to offer.
Yani bado unabishana tena bila aibu. πππ Today you will learn by force.Kama hujaelewa basi sisukumi punda kwenye mteremko napiga teke tuu inatosha.
Render hadi ikona slums. π€£π The most unplanned city on earth.
umenkumbusha mbal EACOP kuna kampuni ilipewa ianze uchimbaji na waandishi wakaenda kabisa pale na mkataba ukasainiwa π π miaka 5 mbele wameishia kujenga vibanda vya wafanyakazi na ule mradi ukauzwa tena kwa mwinginehata EACOP walifanya hivihivi wakaenda kuungana na Tullow oil! Leo hii miaka 11 baadae hamna single km of pipeline has been built!
basi uyo mwamba alivuta sana ilo panga maaana ule mstari sio wa kawaidaHuyo jamaa ni Watchman, sasa huenda alipigwa panga na wezi waliotaka kuiba ofisini kwake.
Mnatuchosha. Leteni projects kutoka kenya.Yani bado unabishana tena bila aibu. πππ Today you will learn by force.
View attachment 3591277
kodi yenyewe 90% inatumika kulipa deniAisee KRA haitaweza kulipa hilo deni maisha duh.