Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

From your post.
Dar. - TPA
-PSPF1
-PSPF 2
-BOT 1
-BOT 2
-RITA

And Nairobi is---UAP only.
 
Ujinga ni kusema tunarudia majengo wakati pembe zote a apo nai majengo ni yaleyale ....mnachefua mno, utaliona uap kila picha, kicc na britam, nawashangaa mnavyojisemesha uchuro wakati muda wote mnapost picha zilezile tangu zaman....hii thread ilishaisha siku nyingi sana. ...tofauti tu wanadar wengi wanalack picha za 1st class suburb even 2nd class .....
 
Labda hujanielewa, kuunda fiber network ni tofauti sana na making Tanzania an ICT Hub, ICT hub means a center that chuns out ICT solutions.

Kwa hili nikuulize Tanzania imebuni nini kwa sector ya ICT??
La pili kampuni gani ya ICT ya ulimwengu ipo Tanzania??
Tatu, Unajua ICT Incubation hubs?? Niambie Tanzania ni ngapi??

Ujue Kenya kwa mambo ya internet huwezi ongelea Africa, Internet ya Kenya ina compete na nchi kama Sweden na England, SA wenyewe wanasoma number tena kwa mbali, hadi Australia wanasoma number.

Kenya wamefika level ya kujenga Silicon Savanah at Konza, a town that will be like Silicon Valley of America, A city only for the IT people, Think of that
 
Sidhani kama wakenya watapata wakati wa kurudia tena hili, hasa ukizingatia kwamba majengo yale unataka kupost hapa ni yale yale tu ya PSPF, TPA, BOT, na mengine pale manne, ama kuna mageni???
Jaribu sasa jengo moja moja alaf utajua sasa
 
Sasa Tuusan, hapo hii thread ilipofikia, kwa ukweli ni jengo gani atapost ama anataka mpost halijapostiwa humu?? Sema tu nipe mfano nielewe
 
Hahahhaa msikieni huyu sasa kweli sifa munazipenda ila umaskini umewashika mikono hahhahahahah
 
hujaekewa ata le mac,hujaekewa 4th ngong avenue tower,hujaekea uon tower,prism,hazina,commercial bank,delta,parliament tower,.....trust me nyinyi ndio mmemaliza kila kitu
 
Sidhani kama wakenya watapata wakati wa kurudia tena hili, hasa ukizingatia kwamba majengo yale unataka kupost hapa ni yale yale tu ya PSPF, TPA, BOT, na mengine pale manne, ama kuna mageni???
Nadhani unasikia tu. Ngoja nikupatie majengo kadhaa

1. PPF tower
2. Millenium Tower II
3. Benjameni Mkapa Tower
4. Rita Tower
5. Uhuru Heights
6. Umoja wa Vijana Complex Tower 1
7. Umoja wa Vijana Complex Tower 2
8. Viva Tower Tower 1
9. Viva Tower Tower 2
10. NSSF Ilala Mafao House

Hapo nimekupatia machache tu kwa haraka. yote hayo ni zaidi ya floor 20.
 
Sasa Tuusan, hapo hii thread ilipofikia, kwa ukweli ni jengo gani atapost ama anataka mpost halijapostiwa humu?? Sema tu nipe mfano nielewe
Wewe nilishakwambia nairobi ndogo sana na imejengeka sehemu moja kwann tubishane
 
hujaekewa ata le mac,hujaekewa 4th ngong avenue tower,hujaekea uon tower,prism,hazina,commercial bank,delta,parliament tower,.....trust me nyinyi ndio mmemaliza kila kitu
Tena kwenye majengo marefu bongo usiizungumzie kabisa hehehe yani nilishakwambia kwenye majengo acha kabisa we zungumza Barabara sawa ila na kwenye Barbara mukae mkao wa kula pia hehehehe
 
Nairobi city of Life: The only city in the whole world one can see the cityscape amidst the game
 
hujaekewa ata le mac,hujaekewa 4th ngong avenue tower,hujaekea uon tower,prism,hazina,commercial bank,delta,parliament tower,.....trust me nyinyi ndio mmemaliza kila kitu
Broo hii thread nipo nayo from the beginning, picha zote mmeshapost hadi mkaanza post watu wanacheza golf. ....Ndio maana nilipost ugali na nyama uku. ....
Barabara zoooote zipo humu,aerial view and everything...ask me anything kuhusu hii thread mpaka ilipofikia....story za world class city nazisikiliza lakini kama class city ndio zinaappear namna hyo basi tunadanganyana humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…