KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Leta jengo moja nishaleta tpaA visit to Nairobi is not complete unless you visit Nairobi National Park
![]()
Leta jengo moja nishaleta tpaA visit to Nairobi is not complete unless you visit Nairobi National Park
![]()
Leta jengo acha kupotezeaDid you know that Nairobi is the City with the largest Metropolitan Area in Africa??? Now you know.
At the horizon is Nairobi's Upperhill Business District, see how far the city stretches
![]()
Hhhhh!!! Kakangu, mbona hayo tumefanya zaidi ya mara ishini hapa?? Iwe wewe ni mgeni humu au??Nairobi mbna hamleti jengo lenu moja
Tanzania to become EAC ICT hub, sets up National Internet Data Centre (IDC)
Tanzania will soon become a centre of Information and Communication Technology (ICT) for East African countries after completion of the national Internet Data Centre (IDC) in Dar es Salaam.
Tanzania to become EAC ICT hub, sets up National Internet Data Centre (IDC)
Nimekuelezea vizuri sana, hivi hujaelewa??Wakenya mnaiogopa battle ya majengo na dar es salaam
En that puts dar above nai
No hii battle imesemwa tukaanza mkaiharibuHhhhh!!! Kakangu, mbona hayo tumefanya zaidi ya mara ishini hapa?? Iwe wewe ni mgeni humu au??
Tena, we fikiria, watu washalalamika kuona hayo majengo ya TPA, PSPF na BOT, yaani ina maana, wameona hadi wamekinai. Nadhani hapa unanielewa
Twenden jengo mojamoja basNairobi has the tallest Monument in Eastern Africa
![]()
Kwikwikwikwi. Soma Taarifa. Kwamba tayari TZ ni ICT hub.Annael hayo Nairobi ishafanya, na tayari ni African ICT hub, by the way did you know that Oracle, IBM, Google just to mention a few have there African headquarters in Nairobi???
dar ina majengo matatu ikienda sana matana rita na uhuru heights.......hizo zingine ni 10-15 floors ambazo hazinamaa apaNo hii battle imesemwa tukaanza mkaiharibu
Ila mkawa na kisa kuwa kuna makampuni mengine yapo upande moja na si mwingine
Sahv apa nataka kila mtu awe free kutuma jengo lolote
Maana mnasema dsm ina majengo matatu tu
Na apa ndo tutaona who will run out of buildings
Na apa hatuweki under constructio maana under construction najua tutawaua
Sidhani kama wakenya watapata wakati wa kurudia tena hili, hasa ukizingatia kwamba majengo yale unataka kupost hapa ni yale yale tu ya PSPF, TPA, BOT, na mengine pale manne, ama kuna mageni???Twenden jengo mojamoja bas
Njoo kwa battle sasadar ina majengo matatu ikienda sana matana rita na uhuru heights.......hizo zingine ni 10-15 floors ambazo hazinamaa apa
HahahaSidhani kama wakenya watapata wakati wa kurudia tena hili, hasa ukizingatia kwamba majengo yale unataka kupost hapa ni yale yale tu ya PSPF, TPA, BOT, na mengine pale manne, ama kuna mageni???