President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,526
- 94,006
WIZARA YA UCHUKUZI
PLANS (2026/27)
18. Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)
A. NIT imeweka lengo la kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 34.91 kutoka katika vyanzo vya mapato ya ndani yatokanayo na utoaji wa mafunzo, tafiti na ushauri wa kitaalam.
B. Kununua Aviation System Trainer (Avionics) kwa ajili ya mafunzo ya usafiri wa anga
19. Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI)
A. DMI inatarajia kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 16.35 kutoka katika vyanzo vya ndani vitokanavyo na utoaji wa elimu na mafunzo, tafiti na huduma za ushauri wa kitaalam.
NB: Vyuo vingine vimetengewa bajeti ya kujiimarisha ni:
A. Chuo cha Bandari
B. Chuo cha Usafiri wa Anga (CATC)
C. Chuo cha Teknolojia ya Reli (TIRTEC)
D. Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa