Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,236
- 107,866
kwahiyo daraja linamaanisha Mombasa imekuwa na 4 lanes kabla ya Dar? Tar. ya kujengwa?Shidako ni Ushamba na ndio maana hata kushika chupa ya soda hujui.
This is Mombasa with a 8 lane section.
View attachment 3590461
Is this a 8 lane road or not?kwahiyo daraja linamaanisha Mombasa imekuwa na 4 lanes kabla ya Dar? Tar. ya kujengwa?
Daraja la urefu wa 5meters peleka South Sudan.
kwahio unahesabu mpaka pedestrian lane? wach kuwa desperate!
Ulitaka tuhesabu pedestrian lane then it's a 10 lane road na ukitaka pia naezahesabu road shoulders to make it a 12 lane road๐๐๐คฃ. By the way ukipenda unaezalia ukipenda.kwahio unahesabu mpaka pedestrian lane? wach kuwa desperate!
Sisi tunaingiza TAZARA, MGR na SGR wewe unaongelea barabara. Ujinga kweli ni adhabu
๐๐๐ haya sawa. Kwa hiyo ni 8 lanes road.? Hizo 8 lanes juu ya daraja la mita 50.? Sikia hakuna barabara ya 6 lanes Mombasa.. kimsingi kuna barabara moja tu yenye iko na 6 lanes in the whole of Kenya. And that is thika highway. Labda uje na story za 8 lanes in some section. Ila kwa hizo 50 meters za brigde nadhani ni vyema ukubali ukweli, hautakufa.Shidako ni Ushamba na ndio maana hata kushika chupa ya soda hujui.
This is Mombasa with a 8 lane section.
View attachment 3590461
Shidako ni Ushamba๐๐๐ haya sawa. Kwa hiyo ni 8 lanes road.? Hizo 8 lanes juu ya daraja la mita 50.? Sikia hakuna barabara ya 6 lanes Mombasa.. kimsingi kuna barabara moja tu yenye iko na 6 lanes in the whole of Kenya. And that is thika highway. Labda uje na story za 8 lanes in some section. Ila kwa hizo 50 meters za brigde nadhani ni vyema ukubali ukweli, hautakufa.
Hii yoote halafupipeline inaenda Tanga!
Sawa Methuselah.Hii yoote halafupipeline inaenda Tanga!
Kwahiyo kazi yako itakua ni kutafuta section za mita 5 kupost.? Haya sawa ๐๐๐ kenya yote ina barabara moja tu enye iko na 6 lanes. The rest ni 2 lanes na chache hapo nairobi zenye ni 4 lanes.
Hata Turkana has an 8 lane Road. Kama hufurahishwi unaezajinyonga vile huwa unanyonga chupa.Kwahiyo kazi yako itakua ni kutafuta section za mita 5 kupost.? Haya sawa ๐๐๐ kenya yote ina barabara moja tu enye iko na 6 lanes. The rest ni 2 lanes na chache hapo nairobi zenye ni 4 lanes.
Turkana inashinda Dodoma kwa barabara.Imagine dodoma mji wa juzi tu unashinda mombasa kwa barabara. ๐๐๐ hiyo mombasa ni Tanga iliyochangamka.
Tanzania tulishatoka huku. Tupo kwenye BRT, unatuonesha old school development.Hata Turkana has an 8 lane Road. Kama hufurahishwi unaezajinyonga vile huwa unanyonga chupa.
Turkana
View attachment 3590473
Hata Turkana has an 8 lane Road. Kama hufurahishwi unaezajinyonga vile huwa unanyonga chupa.
Turkana
View attachment 3590473
๐๐๐ mombasa inachekesha, inazidiwa na dodoma mji wa juzi.Turkana inashinda Dodoma kwa barabara.
Hii sasa ndio maana ya railway kuingia port. Huko bongoslum railway imeishia kwa yard, wanasema imeingia port. ๐ ๐ ๐ Hizi ndio vitu zinafanya Dangote achague Mombasa over anywhere else.