Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unapinga nini na hata Uhuru mwenyewe akiwa President alisema kuweka picha ya Rais sio lazima. Wewe unapinga kama nani sasa? Kenya tunafwata Katiba, sio kama bongoslum.
 

Hata ukimdharau sisi tumemuheshimu kwa hilo. Sikiliza maelezo ya Waziri wa uchukuzi hapa.


View: https://www.instagram.com/reel/DYSgi0lMSqD/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Sikiliza maelezo ya waziri mkuu hapa:

View: https://www.instagram.com/p/DYSaB9mtcHH/?hl=en
Brother uwe unafuatilia vitu details siyo kuchukulia juu juu na kuwatuhumu watu bila kuelewa details
 
Hahitaji kuponda uwanja wa Serengeti ambao ni muhimu zaidi kuondoa threat ya ule wa Narok unaojengwa!
 
Sasa unapinga nini na hata Uhuru mwenyewe akiwa President alisema kuweka picha ya Rais sio lazima. Wewe unapinga kama nani sasa? Kenya tunafwata Katiba, sio kama bongoslum.
Nimekwambia tangu mwanzo kuwa Kenya hakuna explicit constitutional clause inayosema “kila office lazima iwe na picha ya Rais.” Hata serikali yenu ilishasema private citizens hawalazimishwi.
Lakini unachokataa kuelewa ni tofauti kati ya:
  • wananchi binafsi,
    na
  • government offices/public service protocol.
Ndiyo maana practically ukienda:
  • ministries,
  • county offices,
  • police stations,
  • public schools,
  • serikali institutions Kenya,
    unakuta official portrait ya Rais ipo.
Kwa nini ipo kama si sehemu ya government administrative practice na protocol?
Na hiyo statement ya Uhuru ilihusu wananchi na biashara binafsi kutolazimishwa. Haikufuta government protocol ya public offices kutumia official presidential portrait.

Tanzania na Kenya zote zinafanana hapa:
  • hakuna Katiba inayosema portrait ni national symbol kama flag,
  • lakini serikali zote mbili zina official state practice ya kuweka picha ya Rais kwenye public offices.
Difference ni kwamba wewe umechukulia discussion kama emotions za kisiasa badala ya public administration na constitutional practice.
 
Hahitaji kuponda uwanja wa Serengeti ambao ni muhimu zaidi kuondoa threat ya ule wa Narok unaojengwa!
Ndio maana ninakuambia unatakiwa ufuatilie mjadala mzima. Kabla ya hapo kuna dada mbunge wa serengeti alitoa taarifa kutokana na maelezo ya Mbunge wa Sengerema Tabasamu kuhusu kuweka bajeti ndogo Uwanja wa Mwanza. Huyo Dada alipinga ujenzi wa uwanja wa mwanza. Ndipo baada ya hapo mzungumzaji aliyefuata alikuwa Msukuma

Hata hivyo Waziri mkuu baadaye alikuja kulifafanua. Na Kesho ijumaa atakaa na wabunge wa Kanda ya ziwa kuondoa utata huu. Vilevile Waziri mkuu alieleza kuwa Uwanja wa Serengeti ni PPP bali uwanja wa Mwanza ni Serikali 100%.

Na mimi naona hapo wala hakuna shida yoyote. Ungesikiliza mjadala mzima usingeweza kumlaumu msukuma.
 
Hakuna mtanzania mweupe.
Kutokana na nini? We rejected and opposed this racism from the time of apartheid in South Africa.
Katiba yetu ya Tanzania inakataza ubaguzi wa rangi au hali ya mtu.
Mtu hatambuliki kuwa mtanzania kwa rangi yake.

Hata hivyo unakosa kujua dunia. Ulaya majority ni white lakini wapo watu weusi na mpaka wengine ni viongozi wa juu huko.
Kwa mfano Kemi Badenoch is the Leader of the Conservative Party


Huo ubaguzi kikabila utawamaliza wakenya.
 
Hakuna mtanzania mweupe. All those investors coming to Kenya are Arabs that are tired with your dictatorship government.
 
Wasukuma ni wabinafsi halafu wabadhirifu mnalazimishia kuhudumia Serengeti NP wakati haipo Mwanza ipo mkoa wa Mara! Kuna wakati Msukuma alitaka Mwanza airport iitwe Serengeti. ATI Serengeti international airport haina manufaa! Tangu lini Msukuma anajihusisha na utalii? Kila kitu mnataka nyie! Ndio maana Samia alimuweka jamaa yenu kuwa Deputy PM kama chambo! Mtueleze fedha ya jengo lile ambalo halijakamilika ilienda wapi?
 
Hakuna mtanzania mweupe. All those investors coming to Kenya are Arabs that are tired with your dictatorship government.
Kwamujibu wa kitu gani kinakuambia hakuna Mtanzania mweupe? So Kemi Badenoch is not a British because is Black?
Achana na Primitive Ideas dunia ilishatoka huko
 
Hasira zote hizi ni kwasababu ya Msukuma kutaka Uwanja wa Ndege wa Mwanza ukamilike? Hakuna sehemu Msukuma alipinga Ujenzi wa uwanja wa serengeti. Nadhani hizi hapa ni Chuki zako binafsi, siwezi kujadili kutokana na personal issue. kama mpo na ugomvi na msukuma tafutaneni mmalize ugomvi wenu.

Halafu siyo Msukuma pekee aliyeongelea hilo. Nimekueleza aliyeanza ni Tabasamu Mbunge wa Sengerema.

Sisi wakazi wa Mwanza tunataka Uwanja wa Maana wa Ndege na vilevile tunataka uwanja ndani ya Serengeti, vyote vifanyike

NB: Hii ajenda ilishatolewa ufafanuzi na hakuna utata tena
 
Hasira yangu ni kwa vile anakandia uwanja wa Serengeti! Amekosa uzalendo! Apiganie uwanja wa Mwanza kivyake! Na asilazimishe Serengeti NP ihudumiwe na uwanja wa Mwanza! Hebu tuambieni kama mna uwezo huo, vyanzo vyenu vya utalii vina-perform Vp?


View: https://youtu.be/-pKhQtblbFE?is=NMHaVCDaakT8eWuU
 
Ukweli wa Katiba yenu huu hapa

Baada ya machafuko ya 2007/2008, Wakenya waliamini kuwa kila kabila likiwa na "ulaji" (bajeti) wake katika eneo lake (County), vurugu za kugombea kiti cha Rais Nairobi zitapungua.
Wewe ni burukenge tu. Hopping here and there like a frog
 
Hasira yangu ni kwa vile anakandia uwanja wa Serengeti! Amekosa uzalendo! Apiganie uwanja wa Mwanza kivyake! Na asilazimishe Serengeti NP ihudumiwe na uwanja wa Mwanza! Hebu tuambieni kama mna uwezo huo, vyanzo vyenu vya utalii vina-perform Vp?
Brother nimekueleza fuatilia mjadala mzima. Hii ilitokana na mbunge wa Serengeti kuongea kwa jazba wakati anamjibu Tabasamu Mbunge wa Sengerema. Na mbona naona hakuna shida yoyote.

Hata hivyo Mbuga wa Serengeti haipo Mkoa wa mara pekee imepita mikoa ya Mara, Simiyu, na Arusha. Kuwa na wilaya ya serengeti mkoa wa mara haimanishi Serengeti ipo Mara pekee.
 
Wewe ni burukenge tu. Hopping here and there like a frog
Mimi kuanzia jana na leo nipo hapa kutoa elimu tu. Nitakufundisha hata kama hutaki mpaka ujinga utoke kichwani mwako.
Ulituahidi kutuletea miradi ya Counties kutoka kwenye OSR, lini utaleta?
 
Nimefuatilia ndio maana napinga kauli ya kejeli ya Msukuma ati kudai uwanja wa Serengeti hauna manufaa! Si kweli! Una manufaa zaidi ya huo wa Mwanza Tena ukizingatia mlipewa fedha na JPM ya jengo mkazitumbua! Mtulie serikali iwatafutie hizo fedha za jengo na mapanuzi ya runway! Msituendeshe! Sina sympath za kijinga!


View: https://youtu.be/-pKhQtblbFE?is=NMHaVCDaakT8eWuU
 
Hizo ni chuki zako kaka. Mjadala wote niliufuatilie nashangaa umekazania Msukuma. Wakati aliye liongelea ki undani na kupewa Taarifa na mbunge wa Sengerema Tabasamu.

Itakuwa wewe na Msukuma mpo na ugomvi wenu. Mimi siwezi kuuingilia, malizaneni huko...

1. Mbalawa ameliongelea
2. Waziri mkuu kaliongelea na Kesho yupo kwenye kikao na wabunge wa mwanza.

Uwanja wa Ndege wa mwanza unajengwa 100% na serikali while wa Serengeti ni PPP.
Kwahiyo Msukuma aache kuihoji Serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…