President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,623
- 94,219
Safaricom Owned by Vodafone
Kila mtu anaujua ukweli kuwa Mombasa inamezwa na Dar PortWhen it comes to infrastructure, hakuna port ina expand faster than Mombasa in this region. Bongoslum wamefikisha railway kwa yard next to the port wakasema SGR imeingia bandarini. 😂 😂 😂
View: https://x.com/KillaLando/status/2054085282203361309?s=20
Hata affordable housing scheme yao ni hovyo unplanned and very riskyZero in planning pia, si unaona SGR yao walivyo plan na saivi wanahangaika kuirenovate
Develop kwako na sisi tu develop kwetu kelele ya nini?Kipevu alone can dock 4 tanker ships at ago. Dangote sio mjinga kusema Mombasa has better infrastructure.
Nyamwezi, mafuta haisafirishwi na sgrDangote anajua huu mzigo unafika DRC kweli? Burundi na Rwanda? Kwenye soko la watu zaidi ya million 60?
View: https://x.com/i/status/2053927444697002390
Let's assume this is true. Sasa don't you believe that Ruto and Kenya in general ndio kusema ukanda huu?Kawa Winga wa Dangote.
Ndio maana alimwalika Museven, na kaja TZ kushawishi.
Na Dangote kasema anamsikiliza yeye, maana yake anategema majibu kutoka kwake, kama BLOCK lote limekubali.
Sasa nani anapiga kelele kati yet nanyi?Develop kwako na sisi tu develop kwetu kelele ya nini?
Peleka hasira zako Tandale kwa mfuga mbwa 🤣🤣Kila mtu anawajua wakenya, wazee wa big planning but implementation zero
Ukweli unauma. Nimekuambia ukweliPeleka hasira zako Tandale kwa mfuga mbwa 🤣🤣
Angalia Page ya pili kuhusu miradi inayofanyika kati ya Tanzania na Uganda
View attachment 3587640
View attachment 3587641
- Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP).
- Reli ya kisasa (SGR) kuanzia Isaka, Lusahunga, Murongo/Kikagati hadi Mpondwa nchini Uganda.
- Bomba la gesi asilia.
- Bomba la mafuta yaliyosafishwa.
- Ujenzi wa barabara.
We deal with world leaders … keep up with your gossip ladies 🤣🤣🤣🤣Wabunge wanawake wa Maziwa Makuu watua Dodoma na Electric SGR - Wakenya inawauma sana
View: https://youtu.be/Ro5GcxVICx4?si=4Ri36pb9r-g2eGJK
Show me any bigger than that ….The largest hospital in Africa? Keep dreaming!
Uhuru served two terms as pertains to the constitution and he’s only there juu ya ungwana na ujirani mwema otherwise we care less about an African dictator who believes God put him there to rule forever…Nimeona Uhuru akitoa macho akidhani Kenya itatajwa kwenye accolades za Museveni
View: https://youtu.be/uq1zsAi9nMw?si=93pj3vQ0Jir6wKHP
Nani anajiushisha na hiii ujinga !!!Nimeona Uhuru akitoa macho akidhani Kenya itatajwa kwenye accolades za Museveni
View: https://youtu.be/uq1zsAi9nMw?si=93pj3vQ0Jir6wKHP
Develop kwako na sisi tu develop kwetu kelele ya nini?