Hizo mitaa amekutajia hapo eti iko na flats ni mitaa za ubabi, the equivalents of Runda, muthaiga, Lavington and the likes. ukitoka huko ubabini utapigwa na butwaasiku utafika Nairobi utadharau darislum yenu hiyo
Pole kwa hilo lakini cha msingi ni kwamba yalikuwa maneno ya mwenzakoKwahiyo sikuhizi hii ni account yangu
View attachment 673460
Mimi nilichokuuliza ni kuwa "kwani hizo nyumba wanapewa bure?" baada ya kusema hiviView attachment 673462View attachment 673462
Nairobi haina rival hii east and central Africa......not in this earth....watapinga the obvious kama kawaida yao.. Kenya has corrupt rotten leadership both in government and opposition but it's citizens are extremely hardworking....that's why we are not as poor as Tanzania or Mali or CongoHizo mitaa amekutajia hapo eti iko na flats ni mitaa za ubabi, the equivalents of Runda, muthaiga, Lavington and the likes. ukitoka huko ubabini utapigwa na butwaa
Ingekuwa jambo la busara sana kama ungejiuliza mbona hiyo yenu inayomilikiwa na serikali asilimia mia moja halisikiki wala halionekani. I started hearing about air Tanzania some three years ago hata nikashangaa sana kwamba kumbe mko na shirika la ndege. Sasa manufaa yake kwenu ni gani? Au mnatumia kusafirishia mahindi kutoka kwa shamba?Stop talking nonsense, kumbuka Air Tanzania inamilikiwa na Serikali 100% kwahiyo ikitokea loss kubwa inachukua muda kidogo Ku recover..
. KQ ina wadau wengi na serikali yenu ina benefit kidogo sana yani hilo shirika linawasaidia kutangaza tu nchi yenu na haliko kwa ajili ya kuipatia nchi yenu mapato..
Its private companysome of the aircrafts owned by KQ and their registration numbers
Reg Aircraft Type *
5Y-KQC Boeing 737-300(F)
5Y-KQD Boeing 737-300(F)
5Y-KQG Boeing 737-700
5Y-KQH Boeing 737-700
5Y-CYA Boeing 737-800
5Y-CYB Boeing 737-800
5Y-CYC Boeing 737-800
5Y-CYD Boeing 737-800
5Y-CYE Boeing 737-800
5Y-KYD Boeing 737-800
5Y-KYE Boeing 737-800
5Y-KYF Boeing 737-800
5Y-KZA Boeing 787-8 Dreamliner
5Y-KZB Boeing 787-8 Dreamliner
5Y-KZC Boeing 787-8 Dreamliner
5Y-KZD Boeing 787-8 Dreamliner
5Y-KZE Boeing 787-8 Dreamliner
5Y-KZF Boeing 787-8 Dreamliner
5Y-KZG Boeing 787-8 Dreamliner
5Y-KZH Boeing 787-8 Dreamliner
5Y-KZJ Boeing 787-8 Dreamliner
5Y-FFA Embraer ERJ-190
5Y-FFB Embraer ERJ-190
5Y-FFC Embraer ERJ-190
5Y-FFD Embraer ERJ-190
5Y-FFE Embraer ERJ-190
5Y-FFF Embraer ERJ-190
5Y-FFG Embraer ERJ-190
5Y-FFH Embraer ERJ-190
5Y-FFJ Embraer ERJ-190
5Y-FFK Embraer ERJ-190
5Y-KYP Embraer ERJ-190
5Y-KYQ Embraer ERJ-190
5Y-KYR Embraer ERJ-190
5Y-KYS Embraer ERJ-190
5Y-KYT Embraer ERJ-190
Kwani hujui kizungu ni tatizo kwa hawa jamaa? Ingeandikwa kwa kinyamawezi labda angeelewa. The Diamonds of this wirld!
Ingekuwa jambo la busara sana kama ungejiuliza mbona hiyo yenu inayomilikiwa na serikali asilimia mia moja halisikiki wala halionekani. I started hearing about air Tanzania some three years ago hata nikashangaa sana kwamba kumbe mko na shirika la ndege. Sasa manufaa yake kwenu ni gani? Au mnatumia kusafirishia mahindi kutoka kwa shamba?
ukiuliza mtanzania akuonyeshe ndege zao...oh yao
Hayo mabweni au hostel za chuo?????
Show me any estate ya common mwananchi in Dar with such buildings
We jamaa unachekesha sana.. Tanzania hatuna sifa za kijinga kama nyie... Tuli launch east Africas longest cable lakini hukuona imetapakaa kila mahali instead nyie ndo mkasema hilo daraja liko kwenu.. Ila nyie wakikuyu mna shida sanaIngekuwa jambo la busara sana kama ungejiuliza mbona hiyo yenu inayomilikiwa na serikali asilimia mia moja halisikiki wala halionekani. I started hearing about air Tanzania some three years ago hata nikashangaa sana kwamba kumbe mko na shirika la ndege. Sasa manufaa yake kwenu ni gani? Au mnatumia kusafirishia mahindi kutoka kwa shamba?
Prism tower that award went to India mpumbavu wewe, Not Kenya.Apart from 2017 give me any year you won a award.Mpesa has many awards,PRISM TOWER already has an American architectural award but were used to that
Actually the whole Tanzania is Swahili, Swahili is our culture, Tunauishi uswahili!no wonder the whole city is a swahili village
The KLM's KQYani Tanzania inakua na national carrier for the first time since independence with five planes to its name na inataka kushinda na KQ, a company that has been in operation since time immemorial! Hata hamna haya mkitaja ndege tano hapa
Sasa nyie mnasubiri nini? Gikuyu Landlords to build for you? Au kumiliki banda kama la Mbwa au Nguruwe Kibera na Dindora au Korogocho?Kwa hivyo Tanzania serikali yenu inawajengea nyumba!? Ndo maana mko LDC. Huo uzembe wote mtu atajituma aje aondokewe na umasikini? Sasa mtu mzima ukingoja serikali ikujengee nyumba uko na thamana yoyote kweli kwa nchi yako? LCD ni ldc tu
Mbona kama umepanic hivi, unasema ndege hazipo halafu tena unasema haziwezi cover over 2000km, heheheNdege tano zipi?? na wameshindwa kuikomboa bombardier pale kwa wazungu sababu ya madeni sembuse kuweza kununua ndege tano si Uchumi utaporomoka. Ndege zenyewe haziwezi fika Isiolo from southern Tanzania juu maximum distance to be covered cannot exceed 2000km ni ndege za the 80s and 90s.
Picha???Tunatofautiana malengo kijana,tofauti ya mkenya na mtanzania ni hii.mtanzania hufanya jambo kwa Faida Tu,mkenya hufanya jambo kwa kutafuta sifa Tu. Leo hii hujui Kama tunalo shirika la Ndege,na wala hutakaa ulijue.ila Ndege zimeishanunuliwa na zimeanza kazi.
Sio serikali ya Kenya, sema Serikali ya Kikoloni,Kenya ilkua inamiliki zaidi ya 70% ya EA airways jifunze kufanya utafiti kabla ya kumwaga ujinga...angalau ata Uganda walijaribu kuchangia kwenye shirika Tanzania ilkua shida tupu(hadi sasa hivi Tanzania inapata shida kuchangia pesa kwenye budget ya EAC licha ya kuwa pesa tu kidogo)....ndege nyingi zilizomilikiwa na EA airways zilinunuliwa na serikali ya Kenya ndo maana ilkua logical Kenya kubaki na ndege baada ya shirika kuvunjika
Ndege mlizozitaja haziwezi cover more than 2000km na huo ulikuwa mfano tuuu si eti zipo Tz.Mbona kama umepanic hivi, unasema ndege hazipo halafu tena unasema haziwezi cover over 2000km, hehehe
Ya Kenya.Sio serikali ya Kenya, sema Serikali ya Kikoloni,
Be realistic.