Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ile siku mama anamuumbua ruto ilikuaje akatangaza yy kuhusu refinery kujengwa tanga pasipo kumshirikisha,naamini mama alishalijadili na mu7,yan ruto anataka kujifanya kama ile ni idea yake ikiwa TZ kama nchi tayari plan ya refinery ilikuwepo,binafsi napenda sana dangote kama ni kweli aendelee na huko msa au la kama Tanga basi ajenge pasipo kuwashirikisha kunyan,otherwise tutafute mwekezaji mwingine atakayejenga refinery pasipo uwepo wa kunyan
 
Are you using cocaine or meth? Juu vitu unaongea are non existence 🤣🤣
 
Nyie ni wajinga sana sasa kama Tanga haina port depth TOTAL wanasafirisha vipi mafuta yao from Tanga? tumieni akili kidogo hizo ni siasa tuu za kimkakati.
Total will be using small ships, Dangote is planning to use Post - Panamax ships which no port in Tanzania can accommodate 😂😂🤣
 
Yani the guy has surrendered every decision in the hands of Ruto. Sasa ngojeni muone vile Ruto ataruka watanzania na Tanga Yao😂😂🤣
Tumia akili wewe kama mfanyabiashara unaweza uka surrender investment decision kwa politician? utakuwa kichaa na si mfanyabiashara wa level ya Dangote anaweza kufanya upumbavu kama huo. Hii yote ni picha tuu ila TZ ni baba lao sasa hivi Ruto na Dangote wanasikilizia signal toka TZ ila hawatazipata serikali yetu haijashirikishwa directly na mwekezaji na itapiga kimya bila kufuatilia na utaona either Dangote ama Ruto atatia timu hapa mara ya pili mark my words. TZ haiyumbishwi kizembe hivyo na taifa au mtu yoyote yule we have that reputation since independence kama unabisha kamuulize USA, UK, West Germany wakati huo, Israel, Morocco, Apartheid SA na South Korea watakupa reputation yetu vizuri sana.
 
Wanacheza siasa chafu. Sisi tunazijua sana. Ruto aliambiwa na Rais Samia unatangaza project ndani ya nchi bila kuongea na uongozi wa nchi, maana yake ni kuinigilia sovereign state. Hakuelewa maana yake na akaenda kuropoka tena kwenye bunge la Tanzania.

Bunge la Tanzania linaendeshwa na plans siyo mihemko na hisia.
Mambo huwa yanaanzia kwenye Cocus ya bunge (Kila chama kipo na Cocus yake) -> Kamati ya Bunge -> Ndio vitu vinaletwa kwenye Kikao cha Bunge.
 
Museveni ndiye kasema hivyo!
KItu usichokijua Total ndo ana usemi mkubwa mahali mafuta yanayosafirishwa na bomba yatakapopelekwa.I can bet you Total hana mpango wa refinery. Crude inayobaki Uganda ana plan kujisafishia mwenyewe itumike Uganda. Where does this leave the Tanga refinery?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…