Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa mbna amekaa kama kila sehem katoka kupigwa 🀣 🀣 we fala Teargass kwan kila siku hua unapigwa
Teargass Hawezi akakataa alituwekea mshahara wake humu. Aliweka details za email yake kutoka kwa Shakira Mohamed kipindi kile alikuwa anafanya kazi ya Nursing Kampuni ya Sai Pharmaceuticals lakini alifukuzwa sasa hivi ni jobless
 
Shida kwenye oil importation mna include mpaka mafuta yanayoenda Uganda na Rwanda na South Sudan mnataka kumdanganya tajiri hii sio biashara ya nyanya ina wataalamu wa legal, policy and business they can read fine prints.
Dangote mentioned about Kenya's oil consumption not imports. Wewe unaongea vitu vyako.
 
Sasa unataka kufunza Dangote how to run his business. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hii ni maajabu.
 
Mumeanza kulia.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Tulie ili iweje?
1.Tanzania haijwahi kujitangaza kwamab ina mpango wa kujenga refinery hkwa kushirijiana na nchi za EAC!
2.Tanzania haijwahi kumfuata Dangote kwamba ajenge refinery TZ.
3.Ruto ndio alianza kuropoka ropoka kuhusu refinery mpka tukamshangaa!
By the way,sisi tunaweza kutafta njia nyingine na kujenga refinery Tanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…