Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mafuta lazima yaende Uganda kwanza yakutane na ya South Sudan na ya Uganda yashuke Tanga. Nyie zalisheni mafuta sisi tuna control everything from this end 😁
Hapa inaelekea Dangote amecomit kuweka pipeline South Sudan na Kenya
Jamaa wamefura ila naamini hawana chao kwenye hili! Hata EACOP walishindana wakashindwa then wakasusa kushirokiana wakiamini watajenga pipeline yao peke yao! Mpaka sasa hamna pipeline wala ushuzi wa pipeline.
 
"Kwa ground Tanzania is leading" alisikika baboon moja akisema😂😂🤣.

Reality 🤣👇👇


View: https://x.com/i/status/2052001948094562541

now show us the tallest building in East africa apart from this and the ethiopia bank Building
1778163638811.png
 
Back
Top Bottom