Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vikunya vimeumia kuskia kumbe Arusha ina miradi ya kutunishiana misuli na Nairobi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na vyenyew vimeenda kujadili vilete mjadala wa mwanza na kisumu. πŸ˜‚πŸ˜‚

ARUSHA ina toshana na Nairobi kwa miradi inayoendelea in the city recently. That’s a fact.
 
Ukiambiwa utaje hizo miradi that's where you draw the line πŸ˜„πŸ˜„
 
"Arusha inatoshana na Nairobi kwa miradi"

 
Ukiambiwa utaje hizo miradi that's where you draw the line πŸ˜„πŸ˜„
Arusha inajenga viwanja viwili vya mpira simultanously.

1. Samia stadium. πŸ‘‡πŸΎ2. Arusha city Stadium. πŸ‘‡πŸΎArusha iko na viwanja vitatu.. kando ya Nairobi hakuna mji hapo kunya unamiliki walau kiwanja kimoja cha kisasa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Leta vimradi vyako vya Nairobi nakungoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…